Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,702
Wadau jana niliomba nipatiwe kwa alienacho katika thread flani hapa, leo naona nianzishe uzi kabisa ili kwa alie na document inayoeleza full practices za barabarani anipe, sheria zinazomlinda dreva hasa.
Kwa sababu trafik mara nyingi wanatuonea, wakitutisha tisha tu kidogo wanabeba mlungula.
Nisaidieni,naamini wapo wengine wanahitaji.
Kwa sababu trafik mara nyingi wanatuonea, wakitutisha tisha tu kidogo wanabeba mlungula.
Nisaidieni,naamini wapo wengine wanahitaji.