Nitapata wapi kitabu/documents inayoelezea sheria za barabarani?

Nitapata wapi kitabu/documents inayoelezea sheria za barabarani?

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,702
Wadau jana niliomba nipatiwe kwa alienacho katika thread flani hapa, leo naona nianzishe uzi kabisa ili kwa alie na document inayoeleza full practices za barabarani anipe, sheria zinazomlinda dreva hasa.

Kwa sababu trafik mara nyingi wanatuonea, wakitutisha tisha tu kidogo wanabeba mlungula.

Nisaidieni,naamini wapo wengine wanahitaji.
 
Kuna kitini kinaitwa high way code. Nitamuomba mod aweke hapa. Nikisahau plz pm me, unipe na link ya hii thread
 
sure! mods please help, hawa walafi wametumaliza kila kitu hela, hata kwa kushusha kioo anakutisha eti unahatarisha maisha ya abiria? e.g mmoja juzi alinikamata kisa nimebeba mbwa wangu kwenye pick up, alitaka nimbebe mke wake eti ehe? mwingine kanisimamisha kwa amri nakunitaka nimpe DEMU wake tena denti wa shule(Kinampanda TC) lift all the way from Tinde(SHY) to Singida
 
Ungemwambia sheria haziruhusu asubiri mabasi ili alipe nauli na serikali ipate kodi - period
 
asanten sana nimeipata,sasa naidownload na kuprint saaaaaaafi natembea nayo kwenye gari
 
Jaman kuna ndugu yangu kapata ajali ya gari alikuwa peke yake na haja sababisha madhara kwa mtu yeyote lakin polisi wanataka hela, hii imekaaje wadau'? Anaejua kuhusu hili wadau.
 
wadau jana niliomba nipatiwe kwa alienacho katika thread flani hapa, leo naona nianzishe uzi kabisa ili kwa alie na document inayoeleza full practices za barabarani anipe, sheria zinazomlinda dreva hasa.

Kwa sababu trafik mara nyingi wanatuonea, wakitutisha tisha tu kidogo wanabeba mlungula.

Nisaidieni,naamini wapo wengine wanahitaji.

for your attention
 
for your attention

Mkuu hii act ya mwaka 73 na ammendments zake iko kiujumla sana. Kwa uhalisia askari hawaitumii moja kwa moja, muhimu ni regulations za hii act. Najarib kuzisaka kwenye library yangu nikipata nitaweka hapa.
 
Back
Top Bottom