sure! mods please help, hawa walafi wametumaliza kila kitu hela, hata kwa kushusha kioo anakutisha eti unahatarisha maisha ya abiria? e.g mmoja juzi alinikamata kisa nimebeba mbwa wangu kwenye pick up, alitaka nimbebe mke wake eti ehe? mwingine kanisimamisha kwa amri nakunitaka nimpe DEMU wake tena denti wa shule(Kinampanda TC) lift all the way from Tinde(SHY) to Singida
http://www.parliament.gov.zm/downloads/VOLUME 26.pdf siku hizi mbona kila kitu kipo kwenye mtandao unatia aibu
wadau jana niliomba nipatiwe kwa alienacho katika thread flani hapa, leo naona nianzishe uzi kabisa ili kwa alie na document inayoeleza full practices za barabarani anipe, sheria zinazomlinda dreva hasa.
Kwa sababu trafik mara nyingi wanatuonea, wakitutisha tisha tu kidogo wanabeba mlungula.
Nisaidieni,naamini wapo wengine wanahitaji.
for your attention