Nitapata wapi mbegu za bamboo inayokua kwa kasi?

Nitapata wapi mbegu za bamboo inayokua kwa kasi?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Kuna ile specie ya Chinese bamboo inayokua kwa kasi zaidi. Wapi nitapata mbegu?
 
Kuna sehemu km unaenda Zingiziwa zipo tembea tembea kule utapata Mbegu tena zipo za kumwaga zinakua faster
 
Mkuu unataka ufanyie nini??
kama italeta pesa naomba unstue na mm nipande ardh ipo..
 
Nadhani hazina mbegu ya uhakika , ila inategemea na ardh, Hali ya hewa, na maji au mvua hasa.
 
Kuna sehemu km unaenda Zingiziwa zipo tembea tembea kule utapata Mbegu tena zipo za kumwaga zinakua faster
Nahitaji pia hii nikafanye fencing shambani. Hapo Chanika Zingiziwa kuna mbegu tunda au miche?
 
Nahitaji pia hii nikafanye fencing shambani. Hapo Chanika Zingiziwa kuna mbegu tunda au miche?
Kule shamba unaomba tu unapewa huyu ametaka mianzi yaan bamboo Mbegu ndio nimem-direct huko
 
Back
Top Bottom