BMW G POWER
Member
- Jun 12, 2016
- 25
- 11
Usithubutu kuweka wazo lako, watakuibia! Nenda mpelekee Mzee Mengi, peleka kwenye mabenki na tafuta watu Ila usitoe wazo lako, utajuta, naongea kwa experience
Kwa mfano mimi nawaza kuanzisha kilimo cha matikiti maji,napaswa kulipia hili wazo au nikishaanza kulima ndo nalipia mbegu na madawa na kadhalika?
hilo wazo likowapi umebaki kujieleza tu.
swissme
Keshakuambia idea yake hampi mtu yeyote wanaweza iba. Sasa wewe unataka kaandika kabisa je atakuamini vp kama hutoiba halafu ukauza? On my opinion, nadhani kila mtu ana idea flani, ila kimbembe ni kwenye financial. Ni bora angeingia ubia na mtu kuliko kutaka apate yeye tu. Duniani ya sasa ni win win situationnitafute nikuandikie business plan na project proposal irakayokuwezesha kukubalika na kudhaminiwa wazo lako.
Andaa business plan nzuri na proposal za kutosha. Onesha jinsi mdhamini atakavyonufaika na faida atakayopata kutokana na uwekezaji wake. Siku hizi hakuna anayetoa fedha hivi hivi, hata Mengi au Bakhresa nao wangependa kupata chochote kutoka kwenye huo udhamini watakaokupa.
Pia jua kwamba idea kila mtu anayo, na hao wadhamini wanapelekwa idea na maombi mengi - Andaa idea nzuri zaidi na fanya presentation nzuri zaidi.
Unaweza ukaanza kwa kutumia nguvu na rasilimali ulizonazo mwenyewe kwanza, kisha kumuomba mfadhili au mdhamini akusaidie kukuza na kuendeleza. Ni rahisi zaidi kumsaidia mtu ambaye ameshaanza chochote kuliko mtu ambaye ana wazo tu lakini hajaanza chochote.
ANZA NA ULICHONACHO
Na kimsingi kuna njia kuu tatu za ku-raise capital,Naomba nikuite dogo kwa sababu kwenye hii fani ya ujasiriamali unaonekana ni amateur.
The name of the game is capitalism, kwa kifupi you need capital to play the game na kama hauna mtaji na haujui jinsi ya kuraise capital basi we utaendelea tu kuwa mtazamaji.
Inasikitisha sana kuona mtu unataka kuwa mjasiriamali lakini haupo tayari kujifunza, kwa nini nasema hivyo? Kama ungekuwa tayari kujifunza natumai mpaka sasa ungekuwa umetembelea angalau mabenki sio chini ya matano na kujua kwamba hakuna benki nchini inayokopesha a start up business achilia mbali an idea hata uwe na dhamana yenye thamani kiasi gani.
Umezidi kunishangaza pale unapotaka kukopeshwa kirahisi na mtu binafsi bila ya dhamana na sijui hautaki achukue faida, na riba vipi asiweke? Sitaki kukutisha tamaa lakini naomba ujue kama unataka kuwa mjasiriamali basi lazime ujifunze how to raise funds.
Kuna angel investors wanaweza kukusaidia if you are lucky, if you are not lucky basi jaribu venture capitalist kama kweli your idea is really that good and worth their time and money, wapo humu.
ingekua ni hivi tusingekua tunafanya kazi za watu,Keshakuambia idea yake hampi mtu yeyote wanaweza iba. Sasa wewe unataka kaandika kabisa je atakuamini vp kama hutoiba halafu ukauza? On my opinion, nadhani kila mtu ana idea flani, ila kimbembe ni kwenye financial. Ni bora angeingia ubia na mtu kuliko kutaka apate yeye tu. Duniani ya sasa ni win win situation
Marhabaawakubwa shikamoo na wadogo zangu habarini!
Nina wazo la kibiashara na kwa hapa Dar es salaam sijaona kitu kama hicho.
Gharama ya kukamilisha hili wazo kuwa biashara halisi inahitajika kuanzia milion 3 mpaka 4. Tatizo ni kwamba mimi sina kiasi hicho cha fedha kwa sasa! Pia wazo lenyewe hili la kibiashara linaweza kuonekana kama ni small scale ila likidhaminiwa vizuri (mtaji ukiwa mkubwa) linaweza kuwa large scale!
sasa je wapi naweza kupata mtu wa kunidhamini?
a) bank wanaweza kunidhamini bila ya mimi kuwa na dhamana kama nyumba au ardhi?
b) je mtu binafsi anaweza kunidhamini bila ya kuhitaji asilimia katika faida? mimi kwa hapa nahitaji mtu akinidhamin labda kama mkopo nimlipe kidogo kidogo malipo ya mkopo ila akinidhamin kama msaada nitashukuru zaidi.sijapenda ya kushare profit kwa sababu bado mradi unakuwa haujasimama vizuri
kama kuna mtu ana uzoefu na hali kama hii naomba msaada wenu tafadhari.
nawasilisha!
Maisha ya sasa hivi yamebadilika sana. Kila kitu hufanyika in a participatory approach. Kwa sababu mtu mmoja huwezi jua kila kitu hivyo uhitaji msaada stakeholders mbalimbali ni muhimuingekua ni hivi tusingekua tunafanya kazi za watu,
na katika kupata financial aid muhusika atahitaji kuona mpangilio utakao mshawishi,
Je mtoa mada ana utaalamu wa kuweka wazo lake katika mpangilio ikamshawishi mtu kumsaidia?
kama sivyo umuhimu wa muandishi wa business plan unarudi pale pale,
mimi siuzi wazo la biashara nauza huduma ya kukuandalia mpangilio wa wazo lako la biashara.
kani akiwapa benki au meng atakua ajatoa wazo?acha uchoyo wa kuwabania JF member .atoe wazo tulichanganue naye ataongeza ujuz zaidUsithubutu kuweka wazo lako, watakuibia! Nenda mpelekee Mzee Mengi, peleka kwenye mabenki na tafuta watu Ila usitoe wazo lako, utajuta, naongea kwa experience
Hahahahahhaahahaaakani akiwapa benki au meng atakua ajatoa wazo?acha uchoyo wa kuwabania JF member .atoe wazo tulichanganue naye ataongeza ujuz zaid
Tupe uzoefu kuhusu mahali yalipo yale mawazo aliyopelekewa Mengi na manufaa waliyopata waliobuni mawazo yale?Usithubutu kuweka wazo lako, watakuibia! Nenda mpelekee Mzee Mengi, peleka kwenye mabenki na tafuta watu Ila usitoe wazo lako, utajuta, naongea kwa experience
sijuiTupe uzoefu kuhusu mahali yalipo yale mawazo aliyopelekewa Mengi na manufaa waliyopata waliobuni mawazo yale?