Nitapata wapi pallet za mbao

Xoxa wear

Member
Joined
Aug 22, 2019
Posts
29
Reaction score
33
Kwa dar es salaam ni sehem gan wanauza pallet za mbao
Na bei zake
Kwa wenye kufahamu
 
Ni vizuri unesema unataka pallet za ukubwa gan yan urefu x upana. Pili sidhan kama kuna sehemu specific unaweza kukuta wanauza, huwa zinatengenezwa kwa mafundi seremala
 
Zinauzwa TAZARA kabla hujavuka Flyover ingia kushoto kama wwtokea mataa ya changombe. Utakuta zipo nyingi. Kuna madalali wengi hivyo lazima utapigwa. Mwenye nazo huwa yupo mbali sana. Ukitajiwa bei ikate mara 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…