Ni vizuri unesema unataka pallet za ukubwa gan yan urefu x upana. Pili sidhan kama kuna sehemu specific unaweza kukuta wanauza, huwa zinatengenezwa kwa mafundi seremala
Zinauzwa TAZARA kabla hujavuka Flyover ingia kushoto kama wwtokea mataa ya changombe. Utakuta zipo nyingi. Kuna madalali wengi hivyo lazima utapigwa. Mwenye nazo huwa yupo mbali sana. Ukitajiwa bei ikate mara 2
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.