Nitapata wapi sofa nzuri

Nitapata wapi sofa nzuri

Babu sea

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
953
Reaction score
747
Wadau habari zenu,

Nina hitaki sofa classic za ngozi ziwe zinauwezo wa kubinuka mfano pale unapotaka kulala unaikunjua kama siti ya gari una lala na baadae unairudishia kama ilivyokua ...kama kunsmtu anafaham utaratibu wowote wa kuzipata nitafurahi hatakama ni kuagiza nje ya nchi nipo tayari

Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote mtakao shiriki.
 
Mkuu kama uko dsm mbona kuna malls kibao wanauza...ila bei imechangamka kidogo..au kama vipi mcheki jamaa mmoja anaitwa dulla furniture yuko keko..mcheki instagram..anajua sana..na bei zake zinahimilika.
 
Hapo bei zinazohimilika ni kama kuanzia bei gani?
 
mcheki annamarie instagram ana sofa nzuri sana bei ya mtanzania
 
Back
Top Bottom