Ahsante nitafanya hivyo wanawebsite au account Instagram?Natamani sana niipate lorenz solar water pump.Ni german design, bado nipo kwenye petro ila that is my dream. Watafute lorenz.
Nzufi inauzwa milioni tano. Ila zipo ndogo kuanzia milion1.5
Habari Mkuu,Wakuu habari za ijumaa ya leo naimani tuko salama humu ndani.
Kama kichwa kinanavyojieleza hapo naomba kama kuna mtaalamu wa solar atupe elimu kidogo, kuhusiana na aina gani za Solar ni orginal na je naweza kufunga panel ngapi ambayo zinaweza kusukuma mashine ya maji kwa wingi kwa ajili ya umwagiliaji.
Shamba lina ekari 40 pumb bado Sina na ndio nipo hapa kutaka kupata ushauri ni pumb ya hp ngapi unitumie na kisima kina urefu wa miter 100 na nataka maji yatupwe umbali wa mita 400 walau mashine Iwake masaa 6 mfululizo kwa week mara moja tuHabari Mkuu,
Ni dhahiri unahitaji msaada katika hili.
Binafsi nina maswali kadhaa ya kukuuliza kabla sijasema utumie solar gani, panel ngapi na mengine mengi.
1.Pump ya petrol unayotumia ina uwezo gani hasahasa electrical power rating?
Katika hili unaona inakidhi ufanisi?
2.Unatumia muda gani kumwagilia shamba lako lote , na ni mara ngapi kwa siku ?
Salama mkuu! Mie Sio mzoefu sana kwenye solar lkn najua kuna Sehemu nilipata link ya wauzaji wa Pump za Maji zinazotumia Solar. Pale nilipata contacts za wauzaji kama 100 ambao wanashughulika na uuzaji wa hizo solar pump kwahio ikanipa uwanja mpana wa kuchagua iliyo na bei nzuri maana niliweza kuongea moja kwa moja na muuzaji. Solar Water Pumps | Tanzania National Commercial Directory - NCDWakuu habari za ijumaa ya leo naimani tuko salama humu ndani.
Kama kichwa kinanavyojieleza hapo naomba kama kuna mtaalamu wa solar atupe elimu kidogo, kuhusiana na aina gani za Solar ni orginal na je naweza kufunga panel ngapi ambayo zinaweza kusukuma mashine ya maji kwa wingi kwa ajili ya umwagiliaji.
Ali maanisha Solar yenye uwezo wa kuzalisha umeme wenye kuweza kuzungusha motor inayoweza kupush turbines za pump ya maji..Sola ya kusukuma pampu ya maji hii nayo itakuwa miugiza
Mkuu hapa naona generator ndio nafuu zaidi...vifaa vya solar hapa nchini bado vinasumbua sana.....Shamba lina ekari 40 pumb bado Sina na ndio nipo hapa kutaka kupata ushauri ni pumb ya hp ngapi unitumie na kisima kina urefu wa miter 100 na nataka maji yatupwe umbali wa mita 400 walau mashine Iwake masaa 6 mfululizo kwa week mara moja tu
Vingi fake....hudumu kwa mwaka mmoja tuVinasumbua kiaje mkuu
Usidanganye watu mkuuMkuu hapa naona generator ndio nafuu zaidi...vifaa vya solar hapa nchini bado vinasumbua sana.....
Waone Dayliff mkuu, wana Pump za Solar.Hata hiyo motor Sina ndio nataka nifunge vyote kwa pamoja na ndio nahitaji kupata maarifa kabla sijakurupuka