Nitapata wapi tube light ya kuangalia notes feki jamani?

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
94
Nahitaji niwe natumia tube light ambayo mtu mmoja aliniambia itanisadida kuangalia note feki pale mteja anapokuja kununua vitu dukani kwangu naomba nisaideni ni maduka gani naweza kukipata ?

Zile machine za bank siziwezi wapendwa kaduka ni kadogo

Asante kunisaidia
 
Nitapata wapi tube light ya kuangalia notes feki jamani?
Nahitaji niwe natumia tube light ambayo mtu mmoja aliniambia itanisadida kuangalia note feki pale mteja anapokuja kununua vitu dukani kwangu naomba nisaideni ni maduka gani naweza kukipata ?

Zile machine za bank siziwezi wapendwa kaduka ni kadogo

Asante kunisaidia​
 
Nenda kariakoo ktk maduka ya vifaa vya umeme mtaa wa swahili
 
Nenda pale duka la tronic morogoro road karibu na rainbow hotel samora n morogoro rd

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mpndwa mwanajamii forums nashukuru kwa kunijali na kusoma hitaji langu nimeuandika mtaa husika nitakwenda kuulizia
asante
 
Back
Top Bottom