Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
the finest, ...done
TF
hapo ndio nimeshindwa kumwelewa
watu wanakaa hata mwaka 1-3 kulea mtoto na kujipanga upya
au ndio kumiss kale kamchezo
Inawezekana lakini ila yeye ndiye anajua zaidi kuliko sisianahitaji kuliwazwa lakini jama,na huwezi jua mda wa ujauzito labda alikua hapati mambo flani so ni mda mrefu sana
chokoza nyule ule asali! No, wakung'ate!
Speaker kumbe Hitler yuko hai halafu anakula dundo lolNdo point yenyewe hiyo
hahahaha,country music all the timeSpeaker kumbe Hitler yuko hai halafu anakula dundo lol
Inawezekana lakini ila yeye ndiye anajua zaidi kuliko sisi
Mtoto wa miezi mitatu muda wa kuanzisha na kujenga mahusiano unao?Nwyy kila la kheri!
hellow jf memberz, wazima? Am just looking for a man who knows how to love! Any man pls?! Am 25...
hellow everybody! Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuwa humu, so naombeni mnipokee,! Mimi ni msichana wa miaka 25,nimemaliza chuo kikuu mwaka jana. Tatizo nililonalo ni kwamba,nilipata boyfriend,ambaye tulipendana sana kufikia hatua ya mimi kubeba ujauzito nashkuru mungu nimejifungua salama mwez wa2, issue kubwa ni kwamba,jamaa kanisusia mtoto kisa,hajapenda jina nililompa mtoto! And so far, hatujaoana! Ila tulikua na plans hizo. Mimi nipo kwe2 dar na yeye anaishi nje ya mkoa akiendelea na mambo yake. Bynow,hatak mawasiliano yoyote na mimi,haulizi hata mtoto wake anaendeleaje! Amekua akintolea maneno ya kashfa and all that stuffs!jamani,au mimi ndiye mkosaji? And its nt that i ddnt tel him b4,nilimwambia! Lkn ni kigeugeu sana! Jamani nifanyeje?should i leave hm alone and live my own life?trully ameniharibu psychologically! Sidhani kama ntakuja kupenda tena maishani! Plz help me...
jf ni mambo yote! Tangu nimejiunga humu ndani ya jf sitamani kutoka hata siku moja! Ninaweza kuwa bored,lkn nikiinga jf najikuta nafuraha ya ajabu and i find myself forgeting wat happened like najikuta hasira zinaisha zenyewe! Wadau wote wako poa sana,hawanyimi msaada kwa m2 ukiwa na shida ingawa kupata madongo ni kitu cha kawaida..! It brings more utam na msisimko! I really appreciate being here! Sasa nimeshasahau mambo ya facebook,twiter! Jf ni rahaaaa! Kip it up guys...
Huwa tunasahau sawa lakini hii ndani ya miezi miwili tu halafu mtu una mtoto wa miezi mitatu ambaye inapaswa uwekeze akili na nguvu zako kumlea halafu leo mtu unaanza mchakato wa kupata mtu hata Katiba yenyewe mchakato wake unapelekwa spidi lakini si kama ya huyu.
Lol Wee Mkare, dah mimi sielewi hata hii movie inaenda vipi maana kuna muingiliano wa mambo mengi inakuwa ngumu sana sijui labda mwenzetu moyo wake mgumuThe Finest signature yako hapo mwishoni kama unaniita...lol..
:focus:Nafikiri huyo dada anatafuta mtu wa kumpiga tafu malezi maana mh! huo muda kusahau nakuwa na hamu na jamaa mwengine wakti as far as I know kipindi hiki ungekuwa huna hata wazo la r/ship mpya kwanza na uconcentrate na ulezi wa mwanao. By the way, jamaa kakupotezea shauri ya jina tu jamani, mh, kwa nini msingezungumza jina la dogo likabadilishwa analotaka yeye, mkaka mkalea mwanenu. Kwani jina ni nini jamani. Au jamaa alikuwa na yake akakutafutia sababu.
Lol Wee Mkare, dah mimi sielewi hata hii movie inaenda vipi maana kuna muingiliano wa mambo mengi inakuwa ngumu sana sijui labda mwenzetu moyo wake mgumu
Aisee!!! BAK nilikuwa sijashtukia hilo piaMhhhh! Huna hata vigezo binti!!?
Mkare inawezekana nayo ikawa moja ya sababuYaani... Ila sometimes yaweza kuwa ni frustrations so akadhani kutafuta m/mme mwengine haraka ndio itakuwa solution ya kumsahau yule na kumbe ndio anacomplicate mambo.