yokohama yokozuna
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 322
- 115
Jitoboe ma spoko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa daaah a see wee tuwasiliane nikupe zawadii[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Wala hata sio kazi katafute mzinga wa nyuki ama kichuguu cha manyigu wewe ingiza kichwa chako humo kwa nguvu halafu ufanye kama unachokonoa chokonoa kuwakera hao viumbe.
Watakung'ata, ukisikia maumivu usilie wala usijute ndio gharama ya urembo, baada ya hapo utajaa vidoti uso mzima, ikiwezekana hata shingoni hapo nadhani utakuwa umepata hicho kidoti unachotaka na nyongeza ya vingine kaa mia hivi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu umeua kabisaWala hata sio kazi katafute mzinga wa nyuki ama kichuguu cha manyigu wewe ingiza kichwa chako humo kwa nguvu halafu ufanye kama unachokonoa chokonoa kuwakera hao viumbe.