Nitapataje nafasi ya kazi ya Ualimu serikalini

jennifer21

Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
21
Reaction score
0
Wapendwa mm ni mwalimu nilie pangiwa ajira mwaka jana, lakini sikuripoti kwasababu nilipata shule ya private na mpaka sasa nafundisha private school! Sasa kutokana na mambo ninayo kumbana nayo huku ninampango wa kuomba ajira tena serikalini ili mwakani nihamie serikalini lakini sijui nafanyaje!!! Please wazoefu naombeni proses

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Maisha ni kujaribu,hongera yako ww ambae yako yamekunyookea!! Sio mda w lawama ni muda wa kunijuza unachokijua!! Af ww s mwl,sjui unafatann uku,walimu ni wastarabu na washauri pia

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 

Nenda tamisemi watakuelekeza afu ufanye haraka ili upate post mwakan, ila punguza tamaa coz huko private mnakokimbilia hakuna hata usalama wa kaz.
 
Andika maombi upya kwa katibu tamisemi hapo sasa ni mwakani wakati results za ualimu kada zote yatakapokuwa hewani. Usisubiri anza sasa hv kwa kujalibu na mwakani yena tuma ili usisahaulike.
 
Nijibu maswali haya nikupe ushauri;unafundisha masomo gani?uliwahi kuchukua mshahara wa serikali kwa miezi mingapi?
 
Sikwenda kuripoti,wala sjawahi fundisha serkalini! Nmeanzia kaz private school

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Nafundisha physics na mathematics

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 

hayo ni mambo ya kawaida sana. kama hujawahi kuingia kwenye payroll andika barua ipeleke tamisemi na kituo utapata na zaidi sana unaweza kuspecify wilaya unayoitaka na watakupatia
 
Nna mashaka na ww hata kwenye maamuzi yako.. Hivi hujui kuwa private ni kama biashara ya nyanya Mara zinaoza, zinanuka Mara hazipatikani... Ooohoooo... Fuata ushauri uliopewa bt jifunze kuridhika ktk mambo yote kama kazi, na vngne pia.. Hasara utakayopata kama ww ni diploma wale uliosoma nao utawakuta wapo kwenye "D" na kama ww ni bachelor utawakuta wenzio kwenye "E" na hautawakuta bt ungethamin serikali toka mwanzo usingekumbana na hayo..
Nkutamanishe kitu kimoja mie npo serikalini nafanya kazi jumla ya masaa manne (4) kwa wiki J3 dk 40,J4 dk 120 na J5 dk 80 baaasi. Muda uliobaki nafanya mambo mengine.. Nkupe moyo utafanikiwa tu
 
Nafundisha physics na mathematics

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

Hongera kwa kufundisha masomo yenye dili.Serikalini kwa masomo yako milango iko wazi.Chagua halmashauri uitakayo.Andikia tamisemi barua kupitia afisa elimu na mkurugenzi wa halmashauri hiyo kisha peleka tamisemi.KAZI UNAPATA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…