jennifer21
Member
- Aug 18, 2013
- 21
- 0
Wapendwa mm ni mwalimu nilie pangiwa ajira mwaka jana, lakini sikuripoti kwasababu nilipata shule ya private na mpaka sasa nafundisha private school! Sasa kutokana na mambo ninayo kumbana nayo huku ninampango wa kuomba ajira tena serikalini ili mwakani nihamie serikalini lakini sijui nafanyaje!!! Please wazoefu naombeni proses
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums