pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 508
- 788
Mimi ni mwalimu nilikuwa nafundisha shule moja Mwanza. Mshahara uliokuwa unatambukilika kisheria na kimkataba ilikuwa laki mbili(200000) tu.
Makato yalikuwa ZSSF= 20000TSH
KODI (PAYE)=ILIKUWA 900
KITU kilichoniachisha kazi mwajiri anataka apeleke pesa ya bodi ya mikopo 15% nikaona niandike barua ya kuacha kazi tu.
Nimejaribu kuomba barua ya termination amesema atanipa mwezi wa nane mwishoni.
Naombe mnishauri asipo nipa hiyo barua ili nikachukue pesa zangu ZSSF nitapitia njia gan ili nipate pesa zangu. Msaada kwa mwenye uelewa!