Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 505
- 872
Download mtandaoniKama kichwa kinavyosomeka hapo juu, nahitaji hiyo kitu maana nategemea kusafiri ndani ya wiki tatu zijazo. Nipo hapa Morogoro. Nawezaje kuipata hiyo card, nimeambiwa ni lazima niwe nayo hiyo.
Asanteni
Kivipi mkuu? Wapi ni download naomba unielekezeDownload mtandaoni
Hata mimi siijui mkuu nimepata tu hili zali ndo naona nahitajika kuwa na hiyo kitu. Ni chanjo ya homa ya manjanoSisi wasukuma wa Bariadi huku hatujui inahusiana na nini!! Unaweza kutufafanulia.
Tuone kama sisi Kuna umhimu wa Kuwa nayo
Nenda hapo hospitali ya mkoa, kitengo cha chanjo mzeeKivipi mkuu? Wapi ni download naomba unielekeze
Asante mkuu, ngoja nifanye hivoNenda hosp ukachanjwe hizo fake( za kununua) zinaweza zikatofautiana sana na original ikakuletea shida siku ya safari.
Kwa Dar huwa ni Mnazimmoja hosp, sijui kwa Moro ikoje
Poa poa mkuu ngoja niende kesho hapoNenda hapo hospitali ya mkoa, kitengo cha chanjo mzee
Sasa hivi hawatoi mkoani ni port of entry au exit ila kwa Daslm bado wanatoa Hospital ya mnazi mmoja..Nenda hapo hospitali ya mkoa, kitengo cha chanjo mzee
Inahitajika wapi?Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, nahitaji hiyo kitu maana nategemea kusafiri ndani ya wiki tatu zijazo. Nipo hapa Morogoro. Nawezaje kuipata hiyo card, nimeambiwa ni lazima niwe nayo hiyo.
Asanteni
Mwenzio anataka certificate kaka, sio chanjo.Nenda hosp ukachanjwe hizo fake( za kununua) zinaweza zikatofautiana sana na original ikakuletea shida siku ya safari.
Kwa Dar huwa ni Mnazimmoja hosp, sijui kwa Moro ikoje
Hazidownloadiki mkuu hospitals kubwa hata hiyo ya mkoa utaipata hata za wilaya unachanja unapatiwa yellow fever card.....kama unapita mipakani utaipata pia kama unatumia usafiri wa ardhini ni efu 30 tuKivipi mkuu? Wapi ni download naomba unielekeze
Ni muhimu akachanja pia maana yellow fever si ndo iko kwenye nchi za kusini mwa jangwa la Sahara...ni chanjo haina mambo mengi haileti mabadiliko mwilini zaidi ya kumkinga mhusikaMwenzio anataka certificate kaka, sio chanjo.
Na zinatofautiana kweli yalinikuta🤣🤣 ikitokea wakalisimamia vyema card ya kwanza nlinunua nikapewa sio nikapita zangu akati narudi mpakani wakanikazia hiyo card sio yao😏Nenda hosp ukachanjwe hizo fake( za kununua) zinaweza zikatofautiana sana na original ikakuletea shida siku ya safari.
Kwa Dar huwa ni Mnazimmoja hosp, sijui kwa Moro ikoje
Asante aisee, nilienda hapo ila bahati mbaya wakasema hiyo chanjo mpaka nisariri Daslam Mnazi MMojaHazidownloadiki mkuu hospitals kubwa hata hiyo ya mkoa utaipata hata za wilaya unachanja unapatiwa yellow fever card.....kama unapita mipakani utaipata pia kama unatumia usafiri wa ardhini ni efu 30 tu