Nitapataje Yellow Fever Vaccine Certificate nipo Morogoro (Yellow Fever Card)

Panda SGR Moro dar go and return ni 26k shuka pale SGR dar chukua boda buku au tembea Mpaka mnazi mmoja ukifika utauliza utaelekezwa nenda kachome only 30k unapata kakitabu Kako na unachoma pia
Magonjwa ya mlipuko.huko kwa wenzetu yapo Sana
Asante mkuu Jane Msowoya, nafurahi kukuona upo. Kitambo sana aiseee.. Mimi ndo yule kijana mrefu tulikutanaga maeneo ya Kijitonyama miaka ile 2014/2015...
 
Panda SGR Moro dar go and return ni 26k shuka pale SGR dar chukua boda buku au tembea Mpaka mnazi mmoja ukifika utauliza utaelekezwa nenda kachome only 30k unapata kakitabu Kako na unachoma pia
Magonjwa ya mlipuko.huko kwa wenzetu yapo Sana
Nakubaliana nawewe! Bila hii nchi za watu huingii. Kwenye kitabu Cha mkapa my life my purpose alielezea hii ilivyomletea shida mpaka akaandikwa kwenye gazeti la new York times nadhañi miaka ya 60.
 
Duh aisee
 
Oooh sijakisomaga hiki kitabu ngoja nikatafute

Watu mtaani wanadanganyana ooh usichome wazungu wanataka kutuma😂😂😂
 
Ngoja nikusimulie Kwa ufupi. Ni kwamba BENJAMIN MKAPA alikuwa na mchumba wake mzungu wakati anasoma Columbia university Sasa wakaja wakapotena na hawakuonana Kwa muda mrefu ila Bado BWM alikuwa USA Sasa ikatokea Kwa bahati mbaya akapata ugomjwa wa measles sijui ndio tetekuwanga...!? Sasa kipindi kile miaka ya 60s walikuwa Bado hawajajua sana huu ugonjwa kule USA aisee ilibidi awekwe kwenye isolation room Kwa muda wa wiki tatu na mbaya zaidi akaandikwa kwenye gazeti linalosomwa sana kule USA New York times au Washington Post sikumbuki vema Sasa ile kutokea kwenye gazeti kubwa kama lile ndio yule mchumba wake mzungu akajua alipo na alipopona Wala reunite tena na penzi likaendelea. Hii amendika mwenyewe kwenye kitabu chake MY LIFE MY PURPOSE.
 
Oooh, Sawa asante Sana
 
Back
Top Bottom