Uchaguzi 2020 Nitapiga kura Oktoba 28, Wewe je?

Lee

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
43,973
Reaction score
150,463
Kumekuwa nadharia kuwa watu wengi tunaoshinda mitandaoni aka wazee wa keyboard hatuna muda wa kwenda kupangana na mistari kwa ajili ya kuchagua viongozi wetu wawe wapinzani wawe chama tawala, msimu huu unaweza kuwa tofauti make vijana /ata kama sio vijana tutatimiza wajibu wetu wa kikatiba

Swali kati ya mjini na vijijini wapi kuna watu wengi wa kupiga kura ?

Vijijini ndio ngome yetu kura za kutoshaa zipo na mjini ndo ngome yetu kura za vijana zipo (watu wawili tofauti wakijinasibu )​

Instagram%20media%20-%20CGrOrjTDyVM%20(%20457%20X%20750%20).jpg
 
Kumekuwa nadharia kuwa watu wengi tunaoshinda mitandaoni aka wazee wa keyboard hatuna muda wa kwenda kupangana na mistari kwa ajili ya kuchagua viongozi wetu wawe wapinzani wawe chama tawala, msimu huu unaweza kuwa tofauti make vijana /ata kama sio vijana tutatimiza wajibu wetu wa kikatiba

Swali kati ya mjini na vijijini wapi kuna watu wengi wa kupiga kura ?

Vijijini ndio ngome yetu kura za kutoshaa zipo na mjini ndo ngome yetu kura za vijana zipo (watu wawili tofauti wakijinasibu )​

View attachment 1609664

Tarehe 28 mapema sana kura yangu kwa John Pombe Magufuli, mbunge wangu na diwani

Wale ndugu zangu mliogoma kuhakiki taarifa zenu mbaki nyumbani mkipamba nyumba tayari kwa shangwe😍🔥🔥🔥🔥🔥

Tarehe 29 partyyyyy
 
Vivaaaa
 
Back
Top Bottom