Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Kumekuwa nadharia kuwa watu wengi tunaoshinda mitandaoni aka wazee wa keyboard hatuna muda wa kwenda kupangana na mistari kwa ajili ya kuchagua viongozi wetu wawe wapinzani wawe chama tawala, msimu huu unaweza kuwa tofauti make vijana /ata kama sio vijana tutatimiza wajibu wetu wa kikatiba
Swali kati ya mjini na vijijini wapi kuna watu wengi wa kupiga kura ?
Swali kati ya mjini na vijijini wapi kuna watu wengi wa kupiga kura ?
Vijijini ndio ngome yetu kura za kutoshaa zipo na mjini ndo ngome yetu kura za vijana zipo (watu wawili tofauti wakijinasibu )