Hii mada haina kichwa wala miguu. Labda inamqundu.😂
Point ya hii mada ni ipi?
Astakafirilah 🙆Hii mada haina kichwa wala miguu. Labda inamqundu.
Ni ngori.Astakafirilah 🙆
hapo uzi umekamilika-kutoka job,
-kupita dukani,
-mtoto kupimiwa unga,
-zamu yangu kuhudumiwa,
-sauti ya mtoto kaanguka analia unga umemwagika,
-kumnunulia mwingine,
-next time kutosahau ile hali mpaka kesho.
Tangu juzi asubuhi.hapo uzi umekamilika
Umeelewa hiyo mada? au na wewe familia?Labda kama sio mtu wamatukio ila mtu kama mimi ilo aliingii ata kwenye top 10 ya matukio yangu(najijua)
hahahaha!Unatakiwa ujue kwamba... hata chakula ni uchafu, ndio maana ukimaliza kula una nawa...