Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Kwa hili walilolifanya bodi ya ligi wakiongozwa na CEO wao Kasongo, wana kila sababu ya kuachia nafasi zao kwa maslahi mapana ya mpira wetu,, kwa kweli wamedhihirisha kuwa bodi yao yote kwa ujumla ni dhaifu na haina uwezo wa kusimamia mpira wetu.
Ni wakati sasa wa kuachia madaraka wawapishe watu wenye weledi na kusimamia kanuni zote, Tunataka bodi yenye kujiamini na kuamini hii ni nyeupe basi ni nyeupe hakuna kusema ni nyeusi.
Ni wakati sasa wa kuachia madaraka wawapishe watu wenye weledi na kusimamia kanuni zote, Tunataka bodi yenye kujiamini na kuamini hii ni nyeupe basi ni nyeupe hakuna kusema ni nyeusi.