Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Mpira ni mchezo wa umoja, nawashauri sana akina engineer Hersi kwenda uwanjani kuicheki Simba ijumaa sio ushamba wala usaliti, unakwenda kutafuta connection na wadau mbalimbali wa soka duniani.
Nitashangaa sana siku hiyo ya kihistoria mnabaki nyumbani mnacheki gemu kwenye luninga, nendeni uwanjani hata kama hamtaki kuisapoti Simba lakn uwepo wenu unatosha jamani.
Nitashangaa sana siku hiyo ya kihistoria mnabaki nyumbani mnacheki gemu kwenye luninga, nendeni uwanjani hata kama hamtaki kuisapoti Simba lakn uwepo wenu unatosha jamani.