Nitashangaa sana endapo Engeneer Hersi na bosi wake hawatakwenda uwanjani ijumaa

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Mpira ni mchezo wa umoja, nawashauri sana akina engineer Hersi kwenda uwanjani kuicheki Simba ijumaa sio ushamba wala usaliti, unakwenda kutafuta connection na wadau mbalimbali wa soka duniani.

Nitashangaa sana siku hiyo ya kihistoria mnabaki nyumbani mnacheki gemu kwenye luninga, nendeni uwanjani hata kama hamtaki kuisapoti Simba lakn uwepo wenu unatosha jamani.
 
Wakati Yanga anacheza final na USMA kiongozi gani wa mbumbumbu alikua Kwa Mkapa?
 
Wakati Yanga anacheza final na USMA kiongozi gani wa mbumbumbu alikua Kwa Mkapa?
Sasa ulitegemea kumuona kiongozi gani akapoteze muda wake kwenda kwa Mkapa kuangalia mechi ndogo

Mechi inayowakutanisha amateurs wawili mmoja hajawahi kufika robo fainali kwa zaidi ya miaka 20

Mwingine ndio kwanza kwenye ligi anapambania asishuke daraja.

Tuwe tu wakweli hata ungekuwa ndio wewe ungeenda kweli?
 
Ataenda kama mwenyeji/shabiki wa Al hally, kumbuka mechi ya Simba sc vs keiza chief.
 
Wao waende huku mo anadai hajawahi kumuona mayele
 
Yes ni Jambo zuri kushangaa pia,
 
Eng Hersi na wanayanga sote tunahitajika kujaza Mkapa Stadium kesho kushuhudia kichapo cha mbwa Koko Cha Simba Toka kwa Al Ahly na kuwazomea kuanzia uwanjani hadi mitaani maana nimeota mbumbumbu watakandwa 5G na mji utatulia tuliiii, boda boda wote kimyaaaa, mavuvuzela eeeh kidedea zote kimyaaa!

Mechi za viti maalum si za kukosa Ili vijiweni tuwazodoe vizuri kwa data za namna mechi ilivyopigwa!

CAF ni watu wabad sana kuitumia Simba kama ngazi ya kuipandisha Al Ahly kisoka na kifedha! Hapa ni Lipuli (Simba) vs Bayern Munich (Al Ahly).

Mbumbumbu ngebe zao mwisho kesho usiku saa 3 inshallah. Na wakishakandwa kama kawa watamshushia jumba bovu Robertinho wakati inajulikana msafara wa Mamba kenge pia huwa wamo!!

Mi kama kawa nimekaa zangu pale gizani Buza kwa Mpalanger nawasubiri Makolo waje kushtaki baada ya kukandwa kwao bila huruma na wanaume Al Ahly!

Tusubiri!
 
Hersi tayari ana medali ya Caf tena aki iongoza Yanga katika fainali iliyo uzuliwa na Viongozi wa soka wa ngazi mbalimbali duniani.

Simba ina jiandaa na mechi ya ufunguzi wa AFL yaani kunatofauti kubwa kama ya Mbingu na ardhi.
Hakuna kiongozi wa Simba mwenye meadali yoyote ya kimashindano ya Caf.
 
Mama yako angebana miguu tu ukafa kuliko kuleta jitu jinga kama wewe
 
Kitakachokushangaza ni nini mkuu Hersi ni nani asipokuja udhangae mbona vitu vingine havihitaji kutumia nguvu nyingi
 
Sio kweli kwamba Watanzania wote ni wajinga Mkuu. Kuna wapuuzi wachache wanafanya Watanzania wote tuonekane hamnazo. Wengine hivyo kabisa. Mwangalie CAPO DELGADO ni mwana Simba lakini dishi halijayumba kama hawa wengine.
Mkuu kwangu mm naona karibu wote tu, we fuatilia vzr ,kwa ukaribu na umakini

Nasoma sana, maandiko yao humu,nayasoma sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…