Nitashangaa sana endapo Engeneer Hersi na bosi wake hawatakwenda uwanjani ijumaa

Mkuu kwangu mm naona karibu wote tu, we fuatilia vzr ,kwa ukaribu na umakini

Nasoma sana, maandiko yao humu,nayasoma sana tu
Ninachosema ni ukweli Mkuu. Ni watu wachache wanaharibu sifa ya Nchi nzima Kwa kujitoa Ufahamu. Angalia tena hizo posts unazosema, zote zimeanzishwa na watu wasiozidi 10.
 
Ninachosema ni ukweli Mkuu. Ni watu wachache wanaharibu sifa ya Nchi nzima Kwa kujitoa Ufahamu. Angalia tena hizo posts unazosema, zote zimeanzishwa na watu wasiozidi 10.
Soma posts hizo na michango ya wadau ktk hizo posts ,utanielewa
 
Sio lazima, sio lazima kwenda uwanjani,
Mngeongea na msemaji wenu, asiwe anaropoka nanyi mnamshangilia kuonyesha u mpompo wenu,
Watu wenye hekima wanaweza kuja mara waka aibishwa na nyie makolo kolo kama alivyosema muheshimiwa Rage
Mnaweza kushngilia
Ila naimani na viongozi wa yanga ni watu wenye hekima duniani sio kama mikolokolo
Wanaweza kuamuwa kwa hekima zao, ngoja tusubiri hapo kesho[emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]i luv Yanga
 
hayo mambo kwenye soka la kisasa hayapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…