Nitashangaa sana kuona wafuatao wakirudi katika nafasi za Ukuu wa Mkoa

Nitashangaa sana kuona wafuatao wakirudi katika nafasi za Ukuu wa Mkoa

Chalamila weka nambari moja hapo...

Uongozi ni busara na dhamana na wala sio utawala au utemi
 
Huyo Byakanwa atolewe tu, maana mpaka unawaza hivi haya mawazo katoa Mkuu wa mkoa kweli. Kuna safari alitoa tamko kila mkazi wa mkoa wa Mtwara awe na shaka la mikorosho ndani ya mwezi mmoja.

Wakati kwa mbegu za kisasa za miche ya mikorosho mpaka kuanza kuokota ni miaka mitatu.

Akaenda mbali kwa yeyote atayeshinda kufuata maagizo yake sheria itachukua mkondo wake.
 
Mama inaonekana hana mpango wa kuachana na timu ya jiwe kwa sasa hivyo unaweza ukashangaa wote wamerudi au wachache sana ndio wanaondolewa.
 
Amewabakiza

1. Zainab Telack
2. Albert Chalamila na
3. Ally Hapi.

Tanzania hii ina watu wengi mno wenye weledi wanaoweza kuwa maRC, mama piga chini haraka hawa watu watatu, ni wa ovyo mno.
 
Ma
Samahani kwa kukukosea,naahidi sitarudia tena!!!
Mambo ya kijinga haya ujue hapa tunashindana kwa hoja siyo matusi, we ukileta matusi yako lazima ukae tu wengine hatuogopi ban wala nini, ifike mahali tuheshimiane wabongo,matusi siyo kabisa yaani
 
Ma

Mambo ya kijinga haya ujue hapa tunashindana kwa hoja siyo matusi, we ukileta matusi yako lazima ukae tu wengine hatuogopi ban wala nini, ifike mahali tuheshimiane wabongo,matusi siyo kabisa yaani
Ahsante Sana
 
Amewabakiza 1.Zainab Telack 2.Albert Chalamila na 3.Ally Hapi.Tanzania hii ina watu wengi mno wenye weledi wanaoweza kuwa maRC, mama piga chini haraka hawa watu watatu, ni wa ovyo mno.
Subirin CHADEMA mkishika nchi mtayafanya hayo
 
Ma

Mambo ya kijinga haya ujue hapa tunashindana kwa hoja siyo matusi, we ukileta matusi yako lazima ukae tu wengine hatuogopi ban wala nini, ifike mahali tuheshimiane wabongo,matusi siyo kabisa yaani
Ha ha
 
Naona tumeanza kumsaidia Rais kuteua, je hili ni letu? Naona tumwachie Rais wetu aendelee na kazi zake, kwani yeye ana system nzima chini yake anouwezo wa kuchambua zaidi yetu sisi. Tusisahau teuzi nyingi ni za kimkakati yenye lengo zaidi ya moja yaani kiutawala na kisiasa.
 
Back
Top Bottom