GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi 'logically' tu kama dhamira na dhamiri yako Kuu ilikuwa ni kuwa Spika wa Bunge inawezekana ukabadilika na sasa Kuutaka Unaibu Uspika ambao haukuwa Chaguo lako la Moyoni?
Ushauri wangu wa bure tu GENTAMYCINE Kwenu nyie 'Natural Failures' mpatao 70 ambao Dada na mwana Simba SC Mwenzangu Dk. Tulia Ackson jana 'Kawabwaga' katika Kinyang'anyiro na Kuteuliwa Yeye na Chama Tawala CCM msithubutu kuutaka tena Unaibu Uspika kwani mtadharaulika na kuonekana si tu ni Majuha ( Wapuuzi ) bali pia mtaonekana ni Ndumilakuwili na hamjui mnachokitaka.