GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ulitaka ateuliwe nani ili ufurahi na Je angekuwa ni chaguo la Watanzania ama furaha ya nafsi yako....Mimi nimeshangaa kuletewa spika wa hovyo. Yaani mnateua mkijua hili ni garasa
Kwani unafikiri wanajali hilo. This is Tanzania my friend .... No one cares!!Hivi 'logically' tu kama dhamira na dhamiri yako Kuu ilikuwa ni kuwa Spika wa Bunge inawezekana ukabadilika na sasa Kuutaka Unaibu Uspika ambao haukuwa Chaguo lako la Moyoni?
Ushauri wangu wa bure tu GENTAMYCINE Kwenu nyie 'Natural Failures' mpatao 70 ambao Dada na mwana Simba SC Mwenzangu Dk. Tulia Ackson jana 'Kawabwaga' katika Kinyang'anyiro na Kuteuliwa Yeye na Chama Tawala CCM msithubutu kuutaka tena Unaibu Uspika kwani mtadharaulika na kuonekana si tu ni Majuha ( Wapuuzi ) bali pia mtaonekana ni Ndumilakuwili na hamjui mnachokitaka.
Ulitaka ateuliwe nani?Mimi nimeshangaa kuletewa spika wa hovyo. Yaani mnateua mkijua hili ni garasa
Kwani wana saccos mlipeleka majina yapi ya wanaofaa kugombea u spika? Au mnataka ateuliwe bila kugombea?Mimi nimeshangaa kuletewa spika wa hovyo. Yaani mnateua mkijua hili ni garasa
Shida kubwa kwenu alikuwa Ndugai hata Msukuma angewafaa.Ulitaka ateuliwe nani ili ufurahi na Je angekuwa ni chaguo la Watanzania ama furaha ya nafsi yako....
Mimi nimeshangaa kuletewa spika wa hovyo. Yaani mnateua mkijua hili ni garasa
Ulitaka ateuliwe nani?
Kwani chama lako lilipeleka mgombea?
Kwani wana saccos mlipeleka majina yapi ya wanaofaa kugombea u spika? Au mnataka ateuliwe bila kugombea?
Smart ni nani kumbe?
Wewe ulitaka ateuliwe nani?simlinganisha na mtu, bali namlinganisha na standards. au mmeteua mtu wa hovyo kwa sababu hakuna mbadala?
Nauliza kwa uelewa wangu hawa waligombea kupitia chama sasa what if bunge likitangaza uchukuaji form wakie da kuchukua watakataliwa?Hivi 'logically' tu kama dhamira na dhamiri yako Kuu ilikuwa ni kuwa Spika wa Bunge inawezekana ukabadilika na sasa Kuutaka Unaibu Uspika ambao haukuwa Chaguo lako la Moyoni?
Ushauri wangu wa bure tu GENTAMYCINE Kwenu nyie 'Natural Failures' mpatao 70 ambao Dada na mwana Simba SC Mwenzangu Dk. Tulia Ackson jana 'Kawabwaga' katika Kinyang'anyiro na Kuteuliwa Yeye na Chama Tawala CCM msithubutu kuutaka tena Unaibu Uspika kwani mtadharaulika na kuonekana si tu ni Majuha ( Wapuuzi ) bali pia mtaonekana ni Ndumilakuwili na hamjui mnachokitaka.
Wa hovyo kwako sio kwao, kwao wa hovyo ni NdugaiMimi nimeshangaa kuletewa spika wa hovyo. Yaani mnateua mkijua hili ni garasa
Kwa kuwa kawanyoosha lazima mseme wa hovyo.Mimi nimeshangaa kuletewa spika wa hovyo. Yaani mnateua mkijua hili ni garasa
Yeyote atakayeteuliwa provided anatoka Chama tawala usitegemee miujiza. Iliwahi kutokea spika mmoja tu alijitahidi Samwel Sitta, na yeye ni sababu alikuwa na raisi muelewa, vinginevyo asingefika mbali.Ulitaka ateuliwe nani?
Kwani chama lako lilipeleka mgombea?
Labda mamaake ndio ateuliwe.Ulitaka ateuliwe nani ili ufurahi na Je angekuwa ni chaguo la Watanzania ama furaha ya nafsi yako....
sioni kama wa hovyo ila wewe ndio hovyosimlinganisha na mtu, bali namlinganisha na standards. au mmeteua mtu wa hovyo kwa sababu hakuna mbadala?