Nitashangaa TFF msipomchukulia hatua Manara

Nini eti, sio jambo la kitaifa unauguliwa wewe, simba inapeperusha bendera ya Tanzania [emoji1241], hivi kumbe hujui kwamba simba akifuzu hapo kuna rank tutazipata toka CAF na pia kujitangaza zaidi, wewe kweli jiwe

Happiness is a lifestyle
 
Siyo kila anayeitwa mpumbavu katukanwa wengine ni wapumbavu kweli
Usije ukatupeleka kwa spika wa bunge la afrika kusini! Alisema ni neno la kawaida, mbunge akampiga nalo spika wacha ang'ake fasta "mheshimiwa mbunge futa kauli"
 
Huoni kama Zahera ametengenezewa uadui? Kwa kuaminishwa mashabiki kuwa anaihujumu?
 
KUNA BIG STORY INAKUJA..
---------------------

KABLA YA KUWAAMBIA LEO USIKU MWINYI ZAHERA ATAFANYA AU KUSEMA NINI KWANZA TUJIKUMBUSHE KIDOGO.

KUMBUKUMBU.

1- ZAHERA : MIMI SINA TATIZO LA MSHAHARA YANI NAWEZA KUFANYA KAZI HAPA YANGA ATA MIAKA 10 BILA YA KULIPWA SABABU NINA BIASHARA ZANGU NYINGI TU.

2- ZAHERA : MIMI SIWEZI KUFANYA KAZI NA TIMU ISIYOKUWA NA MIPANGO NITAACHANA NA YANGA SIWEZI KUENDELEA.

3 - ZAHERA : UKIFIKA MWEZI WA 4 IKIWA YANGA HAIJAWAONGEZEA MKATABA WACHEZAJI WALIOPO AMBAO BADO NINA MPANGO NAO KWA MWAKA KESHO NITAACHANA NA YANGA YANI NITAONDOKA.

4- WATU HAWATAKI KUJISAIDIA HIVYO NA MIMI SIWEZI KUWASAIDIA NITAACHANA NA YANGA.

5- ZAHERA : IKIWA WANAJIITA TIMU YA WANANCHI HALAFU HAWATAKI KUCHANGIA, KUNA FAIDA GANI YA KUFANYA NAO KAZI?

MIMI NITAONDOKA.

NB : KWA KIPINDI CHA MWEZI WA PILI MPAKA WA 3 HUU MWAKA KOCHA MWINYI ZAHERA AMEONGELEA KUACHANA NA YANGA KWA 80%. HUKU 20% AKIZUNGUMZIA YA KWAMBA YANGA HAIWEZI KUWA BINGWA SABABU HAKUNA KITACHOFANYA AWE BINGWA.

HIVI JUZI TU KOCHA MWINYI ZAHERA ALISEMA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI YA KWAMBA ASITAFUTWE KWA KUULIZA LOLOTE KUHUSU SIMBA WALA YANGA.

SABABU ILIYOMFANYA ZAHERA ASEME ASIULIZWE CHOCHOTE NI ILE YA KUDAI ANAENDA CONGO KWA AJILI YA TIMU YA TAIFA KWA KUWA TU WANA MECHI NGUMU.

MNAKUMBUKA YA KUWA ZAHERA ALITOA NAMBA YA KOCHA MSAIDIZI ILI WAANDISHI WANAPOTAKA KUPATA HABARI ZA SIMBA NA YANGA AULIZWE YEYE.

YAJAYO LEO HII.

CHIEF MWINYI ZAHERA ATAKUWA LIVE AZAM TV KUZUNGUMZA NA WANASOKA.

UNAJUA YAJAYO AZAM SPORTS 2?

MI NAJUA MPAKA SASA ILA NIKIKUAMBIA NA WEWE ILI UJUE HUTONIAMINI ILA KWA KUWA MIMI MBISHI NITAKUAMBIA JAPO KIDOGO.

LEO MWINYI NDIO ANATANGAZA RASMI KUIACHA YANGA.

SABABU KUU NI KWAMBA VIONGOZI WA YANGA WALIMSUSIA TIMU ZAHERA NA HII YOTE IMETOKANA NA UJUAJI MWINGI WA ZAHERA UKICHANGIWA NA WAPENZI NA WANACHAMA WA YANGA KWA KUUDHARAU UONGOZI WAO.

WATU WA YANGA WALIJIAMINISHA MAFANIKIO YA YANGA YANALETWA NA ZAHERA SIO UONGOZI ULIOPO.

JUZI TU VIONGOZI AKIWEMO YULE MAMA WAMEACHIA TIMU LAKINI WATU WANAONA POA TU HAWATAKI KUHOJI KISA ZAHERA YUPO.

HAYA SASA ZAHERA LEO NAE ANAACHIA TIMU TAFUTENI PA KUSHIKA.

JE WAJUA YA KWAMBA MWINYI ZAHERA KAIKATAA KADI YA HESHIMA YA UANACHAMA WA YANGA?

JE WAJUA YA KWAMBA SABABU YA KUIKATA KADI YA HESHIMA YA YANGA?

JE WAJUA UKIWA MWANACHAMA WA SIMBA AU YANGA ATA UWE KOCHA MZURI VIPI HUWEZI KUFANYA KAZI MOJA YA HIZO TIMU?

VIA : AZAM FC INAHITAJI KOCHA MKUU.

*_nimeikuta sehem inazagaazagaa_*
 
Manara ni mpumbafu ndio kwani uongo? Zahera ana kosa gani angekua ni mtanzania anafanya hayo kweli tungestuka sasa jitu linaonekana wazi ni papaa linakupa shida ya nini kama sio upumbavu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga Yanga mpira kafungwa AS Vita nyinyi mnawashwa na nini? Huyo Zahera wenu alidhani anawajua sana Simba basi atawasaidia AS Vita? Zahera na Yanga yake walipingwa na Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manara mtu mzima anachukua hatua zake mwenyewe wewe kajamba nani...jinga kabisa...wewe acha uchukuliwe hatua. Nenda kasema hata kwa baba yako nini TFF...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…