Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Nini eti, sio jambo la kitaifa unauguliwa wewe, simba inapeperusha bendera ya Tanzania [emoji1241], hivi kumbe hujui kwamba simba akifuzu hapo kuna rank tutazipata toka CAF na pia kujitangaza zaidi, wewe kweli jiweManara alianza kumkashifu Zahera toka alipo anza kazi yanga....na sio zahera tu ilifika kipindi mpaka jina la zahera akaligeuza likawa la kike.....na fikra kabisa zahera amekasilika kwa kauli za manara....
Alafu manara ameshindwa kutambua Simba kucheza na Vital sio jambo la kitaifa kitaifa ni mechi yetu dhidi ya Uganda...
Huwezi ukasema mechi ya taifa zima wakati mashabiki wengi wa Yanga hawapo pamoja na simba.....HUU NI MPIRA yeye adeal na Timu yake tu.....
Mbona wenzetu nje unakuta mtu anaenda kwenye mechi kwa kumsapoti rafiki au ndugu yake na haileti shida...
Sent using Jamii Forums mobile app
Happiness is a lifestyle