Nitashangaa TFF msipomchukulia hatua Manara

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Manara amepost maneno na kumuonya Zahera eti ameonekana na timu ya AS Vita Club swali 1.Zahera amevunja sheria ipi ya mpira 2.Mamlaka yapi yanampa Manara kutoa kauli hizo 3. Anawahadaa na kuwaandaa mashabiki WA Simba kuwa wakifungwa tatizo ni Zahera
Kwa kauli hizi zinaweza kuleta ghasia kwenye soka na kuhatarisha maisha ya makocha wa kigeni
 
Lakini Haji kamtuhumu Zahera, na Zahera kasema kweli yuko nao As Vita na siyo kosa lakini Zahera kamtukana Haji kwamba ni Mpumbavu sasa Kama wewe ungekuwa hakimu kesi imekuja kwako usuluhishe au uhukumu unaanza na nani hapo?? Na pia nani anatugawa wana mpira Zahera au Haji,??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na pia unijibu wapi Haji kawaaminisha mashabiki wa Simba kwamba wakifungwa kasababisha Zahera??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kesi ya Msingi

Hizo Ni amsha amsha Za Mpira tu kuongeza Hamasa
 
Lakini Haji kamtuhumu Zahera, na Zahera kasema kweli yuko nao As Vita na siyo kosa lakini Zahera kamtukana Haji kwamba ni Mpumbavu sasa Kama wewe ungekuwa hakimu kesi imekuja kwako usuluhishe au uhukumu unaanza na nani hapo?? Na pia nani anatugawa wana mpira Zahera au Haji,??

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu sasa ni U bushlawyer!

Neno mpumbavu si tusi bali anamaanisha manara si mwerevu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Haji kamtuhumu Zahera, na Zahera kasema kweli yuko nao As Vita na siyo kosa lakini Zahera kamtukana Haji kwamba ni Mpumbavu sasa Kama wewe ungekuwa hakimu kesi imekuja kwako usuluhishe au uhukumu unaanza na nani hapo?? Na pia nani anatugawa wana mpira Zahera au Haji,??

Sent using Jamii Forums mobile app
Manara ni mpumbafu ndio kwani uongo? Zahera ana kosa gani angekua ni mtanzania anafanya hayo kweli tungestuka sasa jitu linaonekana wazi ni papaa linakupa shida ya nini kama sio upumbavu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Haji kamtuhumu Zahera, na Zahera kasema kweli yuko nao As Vita na siyo kosa lakini Zahera kamtukana Haji kwamba ni Mpumbavu sasa Kama wewe ungekuwa hakimu kesi imekuja kwako usuluhishe au uhukumu unaanza na nani hapo?? Na pia nani anatugawa wana mpira Zahera au Haji,??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwa vipi Zahera anawahujumu watanzania? Hapa Zahera anapaswa kuripoti polisi kwa kutishiwa usalama, kwa kauli kuwa baada ya mechi atashughulikiwa. Huyu Haji tumemweka kiporo pia, tunasubiri tu kuona kitakachompata Zahera. Kama ni kweli Zahera kamwita Haji mpumbavu yuko sawa sababu hilo sio tusi kama ubnavyodhani. Tuache mpira wa ujanja ujanja

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Uongozi wa Yanga msilinyamazie hili jambo linaweza kusababisha sintofahamu kwenye timu yetu ameshajua anatolewa na ligi hachukui so hii ni tecnic ya Simba kupitia mbumbumbu wao
Ni kwa vipi Zahera anawahujumu watanzania? Hapa Zahera anapaswa kuripoti polisi kwa kutishiwa usalama, kwa kauli kuwa baada ya mechi atashughulikiwa. Huyu Haji tumemweka kiporo pia, tunasubiri tu kuona kitakachompata Zahera. Kama ni kweli Zahera kamwita Haji mpumbavu yuko sawa sababu hilo sio tusi kama ubnavyodhani. Tuache mpira wa ujanja ujanja

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Tatizo mashabiki wa simba huyu jamaa huwa anawachota sana hamjamwelewa msemaji wenu yeye anatafuta kiki kwa manufaa take alishawaambia simba si baba yangu Vita piga hao mbumbumbu 3-0 akili iwaingie vizuri tuone watamfanya nini Coach Wetu narudia uongozi wa yanga chukueni hatua kauli ya huyu jamaa si ndogo inaweza kuleta sintofahamu kwa kocha wetu
 
Ni kwa vipi Zahera anawahujumu watanzania? Hapa Zahera anapaswa kuripoti polisi kwa kutishiwa usalama, kwa kauli kuwa baada ya mechi atashughulikiwa. Huyu Haji tumemweka kiporo pia, tunasubiri tu kuona kitakachompata Zahera. Kama ni kweli Zahera kamwita Haji mpumbavu yuko sawa sababu hilo sio tusi kama ubnavyodhani. Tuache mpira wa ujanja ujanja

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Katishiwaje usalama??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Haji wa SSC ni wa kuonewa huruma. Hajiamini. Aliwatukana mashabiki wa Simba. Hali yake aliyonayo inamfanya kutokujiamini,anajihami kila wakati,anafikiri daima anaonewa.
 
Lakini Haji kamtuhumu Zahera, na Zahera kasema kweli yuko nao As Vita na siyo kosa lakini Zahera kamtukana Haji kwamba ni Mpumbavu sasa Kama wewe ungekuwa hakimu kesi imekuja kwako usuluhishe au uhukumu unaanza na nani hapo?? Na pia nani anatugawa wana mpira Zahera au Haji,??

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza mahaba niue wewe Mbumbumbu wa Mkiani,Zeruzeru ni mpumbavu tena sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom