Uchaguzi 2020 Nitashangaa Wafanyabiashara kumnyima Magufuli kura

kitakachoshangaza zaidi ni wafanyakazi wa umma kumpa kura Magu wakati hajawaongezea mishahara kwa miaka mi5 huku gharama za maisha zikipaa juu!.
Wafanyakazi wa umma wote hawatamchagua mtukufu magufuli kamwe
 
Toeni updates za uchaguzi.
NECCCM Tumeccm na Polisiccm watatumia matokeo ya 2015 na kuongezea kidogo tu watamsimika mtukufu magufuli kienyeji kwa njia haramu za kishetani hakukuwa na haja ya kufanya uchaguzi kwani wanayo matokeo mifukoni mwao tayari.
 
Ni Magufuli Tenaaa...Mitano Tenaaaa


Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ni Magufuli Tenaaa...Mitano Tenaaaa


Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kwa kura zipi? Maana hakuna mwenye Akili timamu kamchagua na wenye Akili timamu ni wengi kuliko wajinga, JPM anakutosha wewe mnufaika wa trilion 1.5 kisha mkamtoa CAG kafara, atosha kwako mnufaika wa blackmail za kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani
 
Ama tcra wameweza kuzima mitandao, basi tarajieni akipita magufuli, ndani ya miaka mitano kila jambo ambalo haramu ambalo CCM wanaenda kulipitisha, mf kuingeza ukomo wa rais, basi watazima. Ushakuwa utamaduni wao

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Msilete nongwa leo ndio mtajua Watanzania kuwa ni wazalendo na wapenda Maendeleo.

Mimi nimeshampigia kura nakusihi na wewe bado haujachelewa...Magufuli oyeeeee.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Km sisi tunavokushangaa ulivo mweupe kichwani....shwain ww
 
Wafanyabiashara wa nchi hii wana chama kimoja tu cha siasa cha kujiunga nacho, CCM pekee. Vinginevyo wewe utalala na kuamka na TRA.
 
Tayari tushampigia Lissu,magu akajambe çhatto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…