Nitasimama na SIMBA yangu daima

Nitasimama na SIMBA yangu daima

Simba Ni Simba
IMG-20230416-WA0141.jpg
 
SIMBA tunapitia kipindi kigumu lakini si kama maadui zetu wanavyoaminisha watu mitandaoni.. Ni changamoto za muda hazitakuwepo milele.. Ni nyakati za nzige.. Tunazitafakari...hatukati tamaa tunapambana tutazishinda na kuwa imara zaidi.. Washindi zaidi wakubwa zaidi na zaidi[emoji173][emoji173][emoji173]
 
 
Back
Top Bottom