CUF imekufa rasmi kifo cha mende!Kusini ilikuwa ngome ya CUF lakini leo Lipumba anapata watu wachache namna ile utafikiri ni mkutano wa mgombea udiwani?ππ,dhambi ya usaliti imewalipa!Mlidhani CCM ni rafiki zenu,wakawatumia kuhujumu UKAWA na hatimaye kumuhujumu Maalim Seif!
Baada ya uchaguzi mtabaki kama tambala bovu!What a shame,hustle zote za Lipumba miaka nenda rudi zimeishia shimo la taka!What a waste!