Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Mbongo muvi Irene Uwoya ameandika kwenyE instagram na kusema atatoa siri za Shigongo na kipi kinaendlea kati yao.
Chanzo: bongo5.
Chanzo: bongo5.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado anatumia ile simu aliyoiba ya iphone 5 kuingia instagram?
Bado anatumia ile simu aliyoiba ya iphone 5 kuingia instagram?
Alimwibia jamaa 1 anaitwa Mohammed Mar-jay. Alikamatwa na kufunguliwa kesi kituo cha Msimbazi. Akatolewa mlango wa pili na police kukwepa waandishi wa habari. Ila Shigongo akazipata habari zote na kutoa habari zote. Hiyo simu jamaa aliinunulia America na kuja nayo nchini. Nadhani walikuwa wanapigana machine ndo Irene akasepa nayo. Ila jamaa ana ushahidi wote,pamoja na receipt aliyoinunulia.aliiba wapi?
Alimwibia jamaa 1 anaitwa Mohammed Mar-jay. Alikamatwa na kufunguliwa kesi kituo cha Msimbazi. Akatolewa mlango wa pili na police kukwepa waandishi wa habari. Ila Shigongo akazipata habari zote na kutoa habari zote. Hiyo simu jamaa aliinunulia America na kuja nayo nchini. Nadhani walikuwa wanapigana machine ndo Irene akasepa nayo. Ila jamaa ana ushahidi wote,pamoja na receipt aliyoinunulia.
wanawake umbea kweli kweli...! Tunashukuru kwa taarifa mwandishi wa ijumaa.
Siri gani? Uwoya hana siri ya Shigongo zaidi ya atasema labda alimtaka kimapenzi...au atatuambia kwamba walishalala pamoja, ataje hoteli na vitu vingine lakini hata yeye atakuwa amejiweka pabaya kwenye jamii, yetu macho na masikio.Mbongo muvi Irene Uwoya ameandika kwenyE instagram na kusema atatoa siri za Shigongo na kipi kinaendlea kati yao.
Chanzo: bongo5.
MBONA UNAJIKANGANYA MWENYEWE? UMESEMA HANA SIRI AS IF WE NDO UWOYA THEN U ARE SAYING THAT MAY BE SHGONGONGO ASKED THE PAPUCHI? IF THAT IS TRUE THEN THAT IS A SECRET AND IT WILL HAVE _VE EFFECTS TO SHGONGO.
mh! mbona za kuliwa na Papa msofe na 10mill hakupewa azitangazi........
is it true? the chick is kinda expensive!
Yap kweli! msofe nae si wa mjini, ndio maana akakubali.... mtoto uwoya kajituma kwenye game ile kisawa sawa, baada ya game, wazee wa kazi wakaingia kuchukua chao.. chezea Papaaa
Hahahaha so alifanya kwa mkopo?
Kuna game la mkopo?
Wameelewana kiasi ni 10mill, but mechi ni lazima ikachezewe mombasa hapa Dar noma, haya safarii hiyoo paka mombasa.. wamechukua hotel. But msofe alikua kaisha panga mipango yote na wazee, game si ndio likapigwaaa haswaa, msofe si mjajanja alikua na zile pesa mle ndani, kidogo wakiwa wamejipumzisha, wazee wa kazi wakaingia ila ulikua ni mpango wa msofe, basi jamaa wakajidai kupekua pekua wakabeba ile 10mill na mbaya zaid before game mtoto alipewa mkwanja... atamdai vipi tena..? kama kipapaa tayari kimeisha tumiwa
Huo ndio mkopo wenyewe. uwoya angeweka kwanza salio lake benk ndio habare zingine ziendelee. papaa musofe ni mzee wa mjini ukifanya nae dili jipande sana asee
Siri gani? Uwoya hana siri ya Shigongo zaidi ya atasema labda alimtaka kimapenzi...au atatuambia kwamba walishalala pamoja, ataje hoteli na vitu vingine lakini hata yeye atakuwa amejiweka pabaya kwenye jamii, yetu macho na masikio.