Nitatoa siri za Shigongo - Uwoya

Nitatoa siri za Shigongo - Uwoya

Status
Not open for further replies.

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Mbongo muvi Irene Uwoya ameandika kwenyE instagram na kusema atatoa siri za Shigongo na kipi kinaendlea kati yao.

Chanzo: bongo5.
 
aliiba wapi?
Alimwibia jamaa 1 anaitwa Mohammed Mar-jay. Alikamatwa na kufunguliwa kesi kituo cha Msimbazi. Akatolewa mlango wa pili na police kukwepa waandishi wa habari. Ila Shigongo akazipata habari zote na kutoa habari zote. Hiyo simu jamaa aliinunulia America na kuja nayo nchini. Nadhani walikuwa wanapigana machine ndo Irene akasepa nayo. Ila jamaa ana ushahidi wote,pamoja na receipt aliyoinunulia.
 
wanawake umbea kweli kweli...! Tunashukuru kwa taarifa mwandishi wa ijumaa.
 
Asitoe siri za mwenzie alisahau alivyokua Shigongo akimuandika kwa fujo na kila tukio? na yeye ndio akitaka kuandikwa sasa leo imekuwaje?....
 
Mbongo muvi Irene Uwoya ameandika kwenyE instagram na kusema atatoa siri za Shigongo na kipi kinaendlea kati yao.

Chanzo: bongo5.
Siri gani? Uwoya hana siri ya Shigongo zaidi ya atasema labda alimtaka kimapenzi...au atatuambia kwamba walishalala pamoja, ataje hoteli na vitu vingine lakini hata yeye atakuwa amejiweka pabaya kwenye jamii, yetu macho na masikio.
 
mh! mbona za kuliwa na Papa msofe na 10mill hakupewa azitangazi........
 
MBONA UNAJIKANGANYA MWENYEWE? UMESEMA HANA SIRI AS IF WE NDO UWOYA THEN U ARE SAYING THAT MAY BE SHGONGONGO ASKED THE PAPUCHI? IF THAT IS TRUE THEN THAT IS A SECRET AND IT WILL HAVE _VE EFFECTS TO SHGONGO.
 
Yap kweli! msofe nae si wa mjini, ndio maana akakubali.... mtoto uwoya kajituma kwenye game ile kisawa sawa, baada ya game, wazee wa kazi wakaingia kuchukua chao.. chezea Papaaa

is it true? the chick is kinda expensive!
 
Yap kweli! msofe nae si wa mjini, ndio maana akakubali.... mtoto uwoya kajituma kwenye game ile kisawa sawa, baada ya game, wazee wa kazi wakaingia kuchukua chao.. chezea Papaaa

Hahahaha so alifanya kwa mkopo?
 
Kuna game la mkopo?
Wameelewana kiasi ni 10mill, but mechi ni lazima ikachezewe mombasa hapa Dar noma, haya safarii hiyoo paka mombasa.. wamechukua hotel. But msofe alikua kaisha panga mipango yote na wazee, game si ndio likapigwaaa haswaa, msofe si mjajanja alikua na zile pesa mle ndani, kidogo wakiwa wamejipumzisha, wazee wa kazi wakaingia ila ulikua ni mpango wa msofe, basi jamaa wakajidai kupekua pekua wakabeba ile 10mill na mbaya zaid before game mtoto alipewa mkwanja... atamdai vipi tena..? kama kipapaa tayari kimeisha tumiwa

Hahahaha so alifanya kwa mkopo?
 
du! is the same papaa who is now behind the bars? inawezekana mzee wa bamaga aliomba mzigo maana anavyomuandka vibaya !
 
Kuna game la mkopo?
Wameelewana kiasi ni 10mill, but mechi ni lazima ikachezewe mombasa hapa Dar noma, haya safarii hiyoo paka mombasa.. wamechukua hotel. But msofe alikua kaisha panga mipango yote na wazee, game si ndio likapigwaaa haswaa, msofe si mjajanja alikua na zile pesa mle ndani, kidogo wakiwa wamejipumzisha, wazee wa kazi wakaingia ila ulikua ni mpango wa msofe, basi jamaa wakajidai kupekua pekua wakabeba ile 10mill na mbaya zaid before game mtoto alipewa mkwanja... atamdai vipi tena..? kama kipapaa tayari kimeisha tumiwa

Huo ndio mkopo wenyewe. uwoya angeweka kwanza salio lake benk ndio habare zingine ziendelee. papaa musofe ni mzee wa mjini ukifanya nae dili jipande sana asee
 
Ndio mkopo kumbe uko ivyo?
Nae na ujanja wake, wote alio waumiza wana hakikisha anatoka Segerea hana kitu....

Huo ndio mkopo wenyewe. uwoya angeweka kwanza salio lake benk ndio habare zingine ziendelee. papaa musofe ni mzee wa mjini ukifanya nae dili jipande sana asee
 
Siri gani? Uwoya hana siri ya Shigongo zaidi ya atasema labda alimtaka kimapenzi...au atatuambia kwamba walishalala pamoja, ataje hoteli na vitu vingine lakini hata yeye atakuwa amejiweka pabaya kwenye jamii, yetu macho na masikio.

Kwani Shigongo hawezi kumtaka kimapenzi Uwoya?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom