Nitatoa siri za Shigongo - Uwoya

Status
Not open for further replies.
every day na mikanda yake ya uwongo uwongo eti ujasiriamali hata asemi mtaji kaupata wapi

Mie huwa namwangaliaga tu.
Eti nilipata mtaji baada ya kupewa pesa na rafikie mzungu...wapiii!
 
naye alimtgo au alishka camera! Then sasa kama ni dingi ake muke ya muzungu ndo alitendewa,how comes mzee wa bamaga anamgwaya ngema ?

Lazima amgwaye maana yeye ndio chanzo cha baba yake kujipiga risasi.
Hata ningekuwa mimi...
 
kumbe ndio maana shigongo alishawahi kutibuana na mange..inasemekana alimshika ---- pale new africa hotel
 
Jamani hii issue nitapataje kwa mtiririko mzuri?hapa naona imeungwa ungwa nimeshindwa kuipata vyema.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…