Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
- Thread starter
- #61
uwoya akusanye huu ushahd!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimemtoa thamani kabsa !,
every day na mikanda yake ya uwongo uwongo eti ujasiriamali hata asemi mtaji kaupata wapi
Mimi mgeni humu... Tz hii ninayoijua mimi yapo haya?
naye alimtgo au alishka camera! Then sasa kama ni dingi ake muke ya muzungu ndo alitendewa,how comes mzee wa bamaga anamgwaya ngema ?
Aisee.......hii nchi ni zaidi ya mafia wa Italy.
Heaven on earth yaani hii habari aliyoshusha Madame B imeniacha mdomo wazi, jamaa mbona ni mlokole?
Ndio hivyo mie hiyo ishu nilikuwa naijua lakin sikujua kama Erick yumo
Penye wengi pana mengi ila mchezo aliofanyiwa yule mzee haukuwa POA!!!!!!!!
Huyu mtu alishaachwa?
Aisee.......hii nchi ni zaidi ya mafia wa Italy.
nyuman kwetu kwa wakubwa
Au hii ndio maana halisi ya "street university?"
Usijali, nakuja mda mda.
Hapo chachaaaa...