mtz one
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 4,284
- 1,221
We nawe wataka mpaka tuongee kwa herufi kubwaaa...
haha nimekuelewa shem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nawe wataka mpaka tuongee kwa herufi kubwaaa...
hahahaha asante kwa kunipenda shem
Na wewe hujaeleweka.
Nijipange kwa lipi Activister?
Poa shem.
Umeshapata lunch lakini?
nadhani kamwachia Allah, japo najua moyoni hatakuja sahau.
Labda alishauriwa asilipe kisasi.
bado shem lang la ukwee chagua bas twende wap
Kwa haiba ya yule binti ni suala la MUDA tu.
Ngema nimjuaye...... Kwa hii kitu yupo KUJIFUA.
Popote pale pasipokuwa na guest house.
Tangu 90 kweusi mpaka leo?
Kaamua kumuachia Mungu.
Una hela wewe, au unataka ulelewe kama Ben Kinyaiya na jimama Joyce!
haha shem unaogopa guest jmn we si shemeji lazma nitunze heshima
Naenda mchokonoa kwenye Bulog yake....
Madame B umechakachua sridi ya watu🙂
hata hivyo athante umetupatia na mapya tuliyokuwa hatuyajui:nod:
madem B embu dadafua kidogo ni nani aliyemfanyia hivyo huyo mzee na kisa kilikuwa nini?
nakusalute kwa data kwakweli,eeheeh hilo joyce jimama ndo nani ukipata picha weka tulione .