Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Tunafahamu kwa sasa kama nchi hatuzalishi zaidi ya megawatts 5000 nikimaanisha megawatts tunazozalisha ni kama 4000+ hizi ni ndogo sana
KUWEKEZA KWENYE GESI ASILIA KUPITIA MIRADI MITATU AMBAYO INATAKIWA KUMILIKIWA NA NCHI
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa na vitisho sana hasa linapokuja swala la sisi kama nchi kutumia rasilimali zetu, yaani tumeaminishwa kwa asilimia mia moja kwamba hatuwezi na mbaya zaidi wanaoshadadia ni waafrika wenzetu nikuambie kitu hakuna hata siku moja tutaambiwa tunaweza
Gesi asilia inafanyaje kazi kuzalisha umeme kwa wasiojua
Kuna mtu au watu wanataka kujua Gas turbine
Hii ni mashine ambayo inatumika kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia ambayo tunayo hapa Tanzania, baada ya kumaliza kusambaza bomba la gesi asilia kwenye mikoa tofauti-tofauti zoezi litakalofuata ni kununua gas turbines ambazo zitakuwa sehemu mbalimbali kama wilaya tofauti-tofauti, na mikoa tofauti-tofauti kwa ajili ya kuzalisha umeme
Megawatts laki 2 zinazalishwaje????
👇👇👇👇👇
Tukiweza install gas turbines 2000 (large turbines) zenye uwezo wa kuzalisha megawatts 100 umeme kila moja jumla ni megawatts laki 2 na hizi gas turbines zitakuwa kila mkoa na kila wilaya na hakutakuwa na mfumo wa umeme wa grid ya Taifa kama ulio wa sasa, kwa hiyo kila ukanda utakuwa na mfumo wake wa grid- kanda ya kaskazini utakuwa na grid yake ya umeme, kanda ya ziwa kutakuwa na grid yake ya umeme, kanda ya kati, kanda ya magharibi, n.k
Huu mradi tuna-ufinance vip kama nchi sababu nilisema ili uwe na faida unatakiwa umilikiwe na nchi
KUWEKEZA KWENYE GESI ASILIA KUPITIA MIRADI MITATU AMBAYO INATAKIWA KUMILIKIWA NA NCHI
- Kuhakikisha drilling zinamilikiwa na nchi na sio foreigner company
- Kuhakikisha bomba la gesi linatandwaza nchi nzima hii inawezekana kabisa
- Kuhakikisha gas turbines za kuzalisha umeme zinamilikiwa na nchi
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa na vitisho sana hasa linapokuja swala la sisi kama nchi kutumia rasilimali zetu, yaani tumeaminishwa kwa asilimia mia moja kwamba hatuwezi na mbaya zaidi wanaoshadadia ni waafrika wenzetu nikuambie kitu hakuna hata siku moja tutaambiwa tunaweza
Gesi asilia inafanyaje kazi kuzalisha umeme kwa wasiojua
- Gesi asilia ikichomwa kwenye gas turbines inatengeneza umeme ambao unatumika na viwanda, ofisini na majumbani.
- Gesi asilia inaweza kutengeneza joto kubwa ambalo inaungwanishwa na generator kwa matumizi mbalimbali hii ni common sana kwa nchi za ulaya na zile zenye baridi kali-kwa Tanzania hii itasaidia sana mikoa ya njombe, iringa, mbeya ambayo kuna miezi inakuwa na baridi kali
Kuna mtu au watu wanataka kujua Gas turbine
Hii ni mashine ambayo inatumika kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia ambayo tunayo hapa Tanzania, baada ya kumaliza kusambaza bomba la gesi asilia kwenye mikoa tofauti-tofauti zoezi litakalofuata ni kununua gas turbines ambazo zitakuwa sehemu mbalimbali kama wilaya tofauti-tofauti, na mikoa tofauti-tofauti kwa ajili ya kuzalisha umeme
- Smaller turbines ambayo inaweza zalisha umeme chini ya megawatts 20 gharama yake ni kati ya usd 500,000 (billion 1 mpaka billion 6)
- Mid-sized turbines inaweza zalisha umeme kati ya megawatts 20 mpaka 100 gharama yake ni usd million 3 (tsh billion 6+ na usd million 10 (tsh billion 20+)
- Large turbines inaweza zalisha umeme zaidi ya megawatts 100 gharama yake ni kati ya usd million 10 (tsh billion 20+) na usd million 20 (tsh billion 40+)
Megawatts laki 2 zinazalishwaje????
👇👇👇👇👇
Tukiweza install gas turbines 2000 (large turbines) zenye uwezo wa kuzalisha megawatts 100 umeme kila moja jumla ni megawatts laki 2 na hizi gas turbines zitakuwa kila mkoa na kila wilaya na hakutakuwa na mfumo wa umeme wa grid ya Taifa kama ulio wa sasa, kwa hiyo kila ukanda utakuwa na mfumo wake wa grid- kanda ya kaskazini utakuwa na grid yake ya umeme, kanda ya ziwa kutakuwa na grid yake ya umeme, kanda ya kati, kanda ya magharibi, n.k
Huu mradi tuna-ufinance vip kama nchi sababu nilisema ili uwe na faida unatakiwa umilikiwe na nchi
- Kupitia kodi za watanzania kutakua na mpango mkakati wa kuraise Trillion 5 hii inawezekana kwa kuzuia matumizi yasiyo yalazima na kuzuia mianya ya rushwa
- Kukopa kwa nchi zetu hizi mikopo imekua na picha mbaya sababu mingi inakua haina uwazi imetumikaje yaani haifanyiwi auditing nikiwa Rais mokopo itakua inafanyiwa auditing na report wananchi watakuwa wanasomewa ili kujua imetumikaje-kwa hiyo kupitia mikopo ni njia mojawapo ya kufinance huu uwekezaji mkubwa wa kuzalisha umeme