Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Wakupe wzizara sasa mzes maana hesabu zako na zile za Bashe hamna tofautiTunafahamu kwa sasa kama nchi hatuzalishi zaidi ya megawatts 5000 nikimaanisha megawatts tunazozalisha ni kama 4000+ hizi ni ndogo sana
KUWEKEZA KWENYE GESI ASILIA KUPITIA MIRADI MITATU AMBAYO INATAKIWA KUMILIKIWA NA NCHI
- Kuhakikisha drilling zinamilikiwa na nchi na sio foreigner company
- Kuhakikisha bomba la gesi linatandwaza nchi nzima hii inawezekana kabisa
- Kuhakikisha gas turbines za kuzalisha umeme zinamilikiwa na nchi
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa na vitisho sana hasa linapokuja swala la sisi kama nchi kutumia rasilimali zetu, yaani tumeaminishwa kwa asilimia mia moja kwamba hatuwezi na mbaya zaidi wanaoshadadia ni waafrika wenzetu nikuambie kitu hakuna hata siku moja tutaambiwa tunaweza
Gesi asilia inafanyaje kazi kuzalisha umeme kwa wasiojua
- Gesi asilia ikichomwa kwenye gas turbines inatengeneza umeme ambao unatumika na viwanda, ofisini na majumbani.
- Gesi asilia inaweza kutengeneza joto kubwa ambalo inaungwanishwa na generator kwa matumizi mbalimbali hii ni common sana kwa nchi za ulaya na zile zenye baridi kali-kwa Tanzania hii itasaidia sana mikoa ya njombe, iringa, mbeya ambayo kuna miezi inakuwa na baridi kali
Kuna mtu au watu wanataka kujua Gas turbine
Hii ni mashine ambayo inatumika kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia ambayo tunayo hapa Tanzania, baada ya kumaliza kusambaza bomba la gesi asilia kwenye mikoa tofauti-tofauti zoezi litakalofuata ni kununua gas turbines ambazo zitakuwa sehemu mbalimbali kama wilaya tofauti-tofauti, na mikoa tofauti-tofauti kwa ajili ya kuzalisha umeme
- Smaller turbines ambayo inaweza zalisha umeme chini ya megawatts 20 gharama yake ni kati ya usd 500,000 (billion 1 mpaka billion 6)
- Mid-sized turbines inaweza zalisha umeme kati ya megawatts 20 mpaka 100 gharama yake ni usd million 3 (tsh billion 6+ na usd million 10 (tsh billion 20+)
- Large turbines inaweza zalisha umeme zaidi ya megawatts 100 gharama yake ni kati ya usd million 10 (tsh billion 20+) na usd million 20 (tsh billion 40+)
Megawatts laki 2 zinazalishwaje????
πππππ
Tukiweza install gas turbines 2000 (large turbines) zenye uwezo wa kuzalisha megawatts 100 umeme kila moja jumla ni megawatts laki 2 na hizi gas turbines zitakuwa kila mkoa na kila wilaya na hakutakuwa na mfumo wa umeme wa grid ya Taifa kama ulio wa sasa, kwa hiyo kila ukanda utakuwa na mfumo wake wa grid- kanda ya kaskazini utakuwa na grid yake ya umeme, kanda ya ziwa kutakuwa na grid yake ya umeme, kanda ya kati, kanda ya magharibi, n.k
Huu mradi tuna-ufinance vip kama nchi sababu nilisema ili uwe na faida unatakiwa umilikiwe na nchi
Tukiweza kuzalisha umeme mwingi basi kama nchi itakuwa ni rahisi kuvutia wawekezaji
- Kupitia kodi za watanzania kutakua na mpango mkakati wa kuraise Trillion 5 hii inawezekana kwa kuzuia matumizi yasiyo yalazima na kuzuia mianya ya rushwa
- Kukopa kwa nchi zetu hizi mikopo imekua na picha mbaya sababu mingi inakua haina uwazi imetumikaje yaani haifanyiwi auditing nikiwa Rais mokopo itakua inafanyiwa auditing na report wananchi watakuwa wanasomewa ili kujua imetumikaje-kwa hiyo kupitia mikopo ni njia mojawapo ya kufinance huu uwekezaji mkubwa wa kuzalisha umeme
Doing by exampleMr president tuonyeshe hata kamradi ka kuku au parachichi uliko wahi kuanzisha na kufanikiwa, motivational speech tumechoka
Akili za mwafrika hizi kwamba mradi wa kuku ndo kipimo cha akiliMr president tuonyeshe hata kamradi ka kuku au parachichi uliko wahi kuanzisha na kufanikiwa, motivational speech tumechoka
Akili za mwafrika hizi kwamba mradi wa kuku ndo kipimo cha akiliDoing by example
Sasa mkuu unawazaje kujenga ghorofa wakati hata jiko la matope la kupikia limekushinda? Inawezekana kweli unaweza lakini utaaminika?Akili za mwafrika hizi kwamba mradi wa kuku ndo kipimo cha akili
Viongozi wengi wanafuga kuku na wanafanya kilimo cha maparachichi mbona wanashindwa isaidia nchi
Hao wenye hivyo vitu mbona wameshindwa inchi kwenye umaskini baada ya miaka 60Sasa mkuu unawazaje kujenga ghorofa wakati hata jiko la matope la kupikia limekushinda? Inawezekana kweli unaweza lakini utaaminika?
Ninaenda kulala nikiamka Lazima Pdiddy aachiwe huru.Tunafahamu kwa sasa kama nchi hatuzalishi zaidi ya megawatts 5000 nikimaanisha megawatts tunazozalisha ni kama 4000+ hizi ni ndogo sana
KUWEKEZA KWENYE GESI ASILIA KUPITIA MIRADI MITATU AMBAYO INATAKIWA KUMILIKIWA NA NCHI
- Kuhakikisha drilling zinamilikiwa na nchi na sio foreigner company
- Kuhakikisha bomba la gesi linatandwaza nchi nzima hii inawezekana kabisa
- Kuhakikisha gas turbines za kuzalisha umeme zinamilikiwa na nchi
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa na vitisho sana hasa linapokuja swala la sisi kama nchi kutumia rasilimali zetu, yaani tumeaminishwa kwa asilimia mia moja kwamba hatuwezi na mbaya zaidi wanaoshadadia ni waafrika wenzetu nikuambie kitu hakuna hata siku moja tutaambiwa tunaweza
Gesi asilia inafanyaje kazi kuzalisha umeme kwa wasiojua
- Gesi asilia ikichomwa kwenye gas turbines inatengeneza umeme ambao unatumika na viwanda, ofisini na majumbani.
- Gesi asilia inaweza kutengeneza joto kubwa ambalo inaungwanishwa na generator kwa matumizi mbalimbali hii ni common sana kwa nchi za ulaya na zile zenye baridi kali-kwa Tanzania hii itasaidia sana mikoa ya njombe, iringa, mbeya ambayo kuna miezi inakuwa na baridi kali
Kuna mtu au watu wanataka kujua Gas turbine
Hii ni mashine ambayo inatumika kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia ambayo tunayo hapa Tanzania, baada ya kumaliza kusambaza bomba la gesi asilia kwenye mikoa tofauti-tofauti zoezi litakalofuata ni kununua gas turbines ambazo zitakuwa sehemu mbalimbali kama wilaya tofauti-tofauti, na mikoa tofauti-tofauti kwa ajili ya kuzalisha umeme
- Smaller turbines ambayo inaweza zalisha umeme chini ya megawatts 20 gharama yake ni kati ya usd 500,000 (billion 1 mpaka billion 6)
- Mid-sized turbines inaweza zalisha umeme kati ya megawatts 20 mpaka 100 gharama yake ni usd million 3 (tsh billion 6+ na usd million 10 (tsh billion 20+)
- Large turbines inaweza zalisha umeme zaidi ya megawatts 100 gharama yake ni kati ya usd million 10 (tsh billion 20+) na usd million 20 (tsh billion 40+)
Megawatts laki 2 zinazalishwaje????
πππππ
Tukiweza install gas turbines 2000 (large turbines) zenye uwezo wa kuzalisha megawatts 100 umeme kila moja jumla ni megawatts laki 2 na hizi gas turbines zitakuwa kila mkoa na kila wilaya na hakutakuwa na mfumo wa umeme wa grid ya Taifa kama ulio wa sasa, kwa hiyo kila ukanda utakuwa na mfumo wake wa grid- kanda ya kaskazini utakuwa na grid yake ya umeme, kanda ya ziwa kutakuwa na grid yake ya umeme, kanda ya kati, kanda ya magharibi, n.k
Huu mradi tuna-ufinance vip kama nchi sababu nilisema ili uwe na faida unatakiwa umilikiwe na nchi
Tukiweza kuzalisha umeme mwingi basi kama nchi itakuwa ni rahisi kuvutia wawekezaji
- Kupitia kodi za watanzania kutakua na mpango mkakati wa kuraise Trillion 5 hii inawezekana kwa kuzuia matumizi yasiyo yalazima na kuzuia mianya ya rushwa
- Kukopa kwa nchi zetu hizi mikopo imekua na picha mbaya sababu mingi inakua haina uwazi imetumikaje yaani haifanyiwi auditing nikiwa Rais mokopo itakua inafanyiwa auditing na report wananchi watakuwa wanasomewa ili kujua imetumikaje-kwa hiyo kupitia mikopo ni njia mojawapo ya kufinance huu uwekezaji mkubwa wa kuzalisha umeme
Mwafrika ni maskini wa kutupa na bado anaokosa uthubutu na hawa wanajiona wasomi ndo hopeless kabisaPothead
Achana na uwezo wa kuzalisha, swali la kwanza ukishazalisha megawatts laki mbili huo umeme wa ziada unapeleka wapi?Mwafrika ni maskini wa kutupa na bado anaokosa uthubutu na hawa wanajiona wasomi ndo hopeless kabisa
mwafrika anataka kupewa approval na mzungu kwenye karibia kila jambo ndo aone alichoongea kina maana ndo maana wako bize kuhakikisha paper zao zinachapishwa kwenye journal za wazungu
Unatokaje kwenye umaskini kama unakosa uthuhutu
Uuumbwaz uuumbwaz uuumbwaz. Shuuughuuruuu weyooo yeyooo weeeraahh uuumbwazMwafrika ni maskini wa kutupa na bado anaokosa uthubutu na hawa wanajiona wasomi ndo hopeless kabisa
mwafrika anataka kupewa approval na mzungu kwenye karibia kila jambo ndo aone alichoongea kina maana ndo maana wako bize kuhakikisha paper zao zinachapishwa kwenye journal za wazungu
Unatokaje kwenye umaskini kama unakosa uthuhutu
Ukiwa na umeme mwingi hufahamu kwamba unavutia waekezaji viwanda kwa sababu umeme utakua bei rahisi na hili hulijuiAchana na uwezo wa kuzalisha, swali la kwanza ukishazalisha megawatts laki mbili huo umeme wa ziada unapeleka wapi?
Nchi zote za EAC hazina mahitaji yanayofikia megawatts 40000 combined.
Sasa uoni kuwekeza kutengeneza megawatts 200,000 ni kutupa hela kama unazo huku, huduma za afya, shule mbovu, maji ya uhakika amna, barabara sehemu nyingi huna, watu wanaliwa na kila mwaka kisa ukosefu wa madaraja.
Lakini una hela za kuchezea kujenga umeme wa megawatts laki mbili, wakati mahitaji hayajafikia ata megawatts 5000.
Fikiria kabla ya kuandika
Umaskini na approval za wazungu ni wewe na wajinga wenzako wasiojielewaMwafrika ni maskini wa kutupa na bado anaokosa uthubutu na hawa wanajiona wasomi ndo hopeless kabisa