Nitauza matikiti maji mtaani kama juventus watatufunga.

Nafikiri kwa sasa hivi anatamani Ronaldo arudi Madrid awe mteja wake wa kwanza. Ha ha haa
 
Ina maana Ronaldo hakuona hili tangazo akamsitiri kakaake?Ndo ashamvua nguo sasa.Matikiti na baridi lile itakuwa biashara kweli!?Labda walimnukuu vibaya ni "culkit"sio matikiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…