Nitauza ukweli kwenye maeneo yafuatayo Siasa,Ndoa na dini

mlogolaje

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
1,509
Reaction score
813
Wakuu poleni na kazi,

Nimeamua kuanza kuuza ukweli baada ya kuona bidhaa hii imekuwa adimu tena sana

Kukwambia nusu SAA itagharimu sh 500 na kukueleza kwa mda wa SAA nzima itagharimu maisha yako
Nasema maisha yako kwa sababu lolote laweza kukutokea kama vile kuwachukia watu,kutowaamini tena na sitapenda vifo vitokee

Nitauza ukweli kwenye maeneo yafuatayo Siasa,Ndoa na dini

Napatikana maeneo mengi nazunguka kama mmachinga

Sababu za kuanza biashra hii ni kutokana na uongo ulio enea kwenye siasa,ndoa na dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…