Nitawaachaje Ndugu Zanguni?

Kipenseli

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
825
Reaction score
1,074
Kila nikitaka kwenda uwanja wa ndege niishie zangu UK [emoji52]
Ghafla nakumbuka kuwa Tanzanian tupo watu Million 59 nikiondoka mimi mmoja kwa mahesabu ya Haraka haraka Watabaki watu Milioni 58 " [emoji52]

kwaiyo Naamua kubaki Maana naona idadi ya watu itapungua sana[emoji120]
 
We Nenda tu unataka kwenda kwa meeee meeee
 
Nenda tu mzee baba wanazaliwa wengine kila siku watakuriplesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka hesabu ulizikimbia darasani.
 
Somo la hesabu lilikusumbua sana darasani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe nenda tu ikiwezekana nenda na ndugu zako 57, mimi nibaki na nchi
 
Hesabu itabaki kuwa ugonjwa wa taifa, hata kutoa mtihani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…