Nitawadharau sana wananchi wakijiona giant kwa kuifunga timu iliyoshuka daraja

KWa hiyo zile habari za Yanga kufungwa 3 bila na timu isiyofungwa kwao ndiyo mnazi yeyusha kwa style hiyo?
 
Acha uzushi wewe, kwenye mashindano haya hadi sasa ni Yanga pekee iliyojipigia Marumo.
 
Kolo wizard mmoko.... Aaaah ah wamotooooo! Mtoto ni faya.. mtoto ni motooo
 
Mbumbumbu at your best🙌🙌🙌🙌🙌
 
Nakuona popoma katika ubora wako ule ule.
 
Yanga inabidi wawashukuru sana Al hilal kwa kuwatoa kwenye caf champion league hatua za awali maana amepata bahati ya kukutana na vibonde tupu ni kujipigia tuu ila ki uhalisia yanga hawana mpira wa kutisha ni kwamba anakutana na vitimu vyenye uwezo mdogo. yanga hii hii iliyofungwa goli mbili bila na simba tena iliwa na kikosi kamili ndo timu ya kuisifiwa imeimarika
 
Kasome post namba 5 kwenye uzi huu hapa chini ya bwana changaule

 
Nyockle
 
Haya futa machozi totooo!
 
Ni ukweli usiofichika wana timu bora,tuache ushamba wa kubisha bisha kila kitu,...hebu fanya analysis ya viungo wa kati ambapo ndo soka huchezwa mara zote..Angalia mchanganuo ufuatao then jijibu mwenyewe

YANGA..

AUCHO([emoji736]️)
MUDATHIR([emoji736]️)
MAUYA([emoji736]️)
SURE BOY([emoji736]️)
BANGALA([emoji736]️)

SIMBA...

MZAMIRU([emoji736]️)
KANOUTE([emoji736]️)
KAPAMA([emoji777]️)
SAWADOGO([emoji777]️)
MKUDE([emoji777]️)
NYONI([emoji777]️)

N.B..NIWAZI KUWA YANGA WANA ADVANTAGE YA KUWA NA KIUNGO BORA MARA NNE ZAIDI YA SIMBA.
 
Konyagi+kvant+kisungura, ukichanganya hivi ndio matokeo yake mtu anaanzuka upupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…