Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] karibu tena mkuu, ila kapige kitabu kwa sana, Jf isahau kwanzaSawa mkuu mwez wa tatu vurugu ziko pale pale
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Afadhali,asante Mungu
Mkuu, huyu dogo ni sawa na saa mbovu aiseeeee.......Sikuwahi kusoma uzi wako kuwa mkeo analala na houseboy wenu?
hahaaahaaaa....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Utakuwa umenifanisha mkuu
Oky tuendelee Shikamoo mana mm umenigeuza bi Tukinao wakat mtoto saa 4 asubuhiHata sijui nipo nipo tu
Anajiita mkolomije[emoji13]Mmmh...yaani we jamaa una vituko utafikiri ulibemendwa utotoni...
Hichi kitoto miyeyusho asee...yaan kila dk thread!...what's the heck!
Marhaba kama ni hivyo mfuate mwenzio shuleOky tuendelee Shikamoo mana mm umenigeuza bi Tukinao wakat mtoto saa 4 asubuhi
Dgo mjinga sana hahahah[emoji41] [emoji41] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mdogo wa joseverest huyu