Nitawamis sana kwaherini JF, shule zimefunguliwa naenda shule tutaonana mwezi wa tatu wakuu

yani kiaz....mara umeoa....mara unaaoma....mara unatembea na mke wa mtu...mara unafanyia mpesa.....mara cjui yn....takataka tupuuuu......Rudi shule dgo afu fix fix za kitoto zikaishie hukohuko
 
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Unapenda kukimbia kimbia sana wewe, angalia usije ota vigimbi mtoto mzuri uwe una tembea [emoji1321]‍♂️[emoji1321]‍♂️[emoji1321]‍♂️, ndio mwendo
 
Ndo vizur mpaka wanaume wawe wananiogopa
 
Back
Top Bottom