Nitawamis sana kwaherini JF, shule zimefunguliwa naenda shule tutaonana mwezi wa tatu wakuu

Nitawamis sana kwaherini JF, shule zimefunguliwa naenda shule tutaonana mwezi wa tatu wakuu

huyu dogo kweli cd ya kichina
mara unataka kujenga,mara kuoa,mara hupo na jimama,mara unataka kuwa msanii,mara hamisa ndio boss wako,mara unakazi
hivi hapa jf umetuona makambale yako mpaka utushezee masharubu
 
Eeeeh huyo kijana anajijua yeye..
Yupo kama kawa.. last seen leo mida ya saa tatu asubuhi. Ila hajaandika lolote tangu Monday.
Muda bado unamruhusu hadi j3 ijayo, siku ya j4 ndo anaenda shule. Nadhani atakuwa anaperuuuzz jeiefu kwa mara ya mwisho mkuu.
 
Dogo umeenda shule na simu???
a33cfd0a072d84e6c6a7a2308ec290d9.jpg
 
Back
Top Bottom