gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
Ana miaka 25 ndio kwanza kaingia 4m4?Dogo umeenda shule na simu???
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana miaka 25 ndio kwanza kaingia 4m4?Dogo umeenda shule na simu???
![]()
Mkuu ni kweli huyu hasomi soma vizuri hizi comments utaona multiple ID zakeHahahaha huyu dogo mhuni sana wala pengine hasomi.
Ameamua kupotezea kupost ila anapitia humu
Hahaaaa,,,,,anatuzugaAna miaka 25 ndio kwanza kaingia 4m4?
Hahaha hata mimi naona anazuga tu maana miaka 25 kuwa 4m4 sidhani kama inawezakaHahaaaa,,,,,anatuzuga
Duhhhh!!!Mmmh...yaani we jamaa una vituko utafikiri ulibemendwa utotoni...
Kumbe Mwanza!Saiv niko home napata mawaiza flan hivi kutoka kwa wakulu kesho safar itaanza saa moja jion pale mwanza air port
by by= (bye bye) -4m4 ya digitali.By by mkuu
Atakuwa ameshasahau, kwaajil yuko busy na smart4ne yake.Aseeh hongera hisabati term iliyopita ulipata ngapi
nduki[emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188]Ukasome sio kwenda KUTONGOZA wake za walimu wako.
Dah aiseeNdo naenda kidato cha nne mkuu
Kitabu ni kigumu sana asikwambie mtu
Ndo naenda kidato cha nne mkuu
Kitabu ni kigumu sana asikwambie mtu
Maisha ya shule ni Safari ndefu
Vumi vumilia ni Safari ndefu
Asiyependa shule ni Mjinga kabisa
Barua ikija anashindwa kusoma
Mabata Madogo Madogo
Yanaogelea katika maji
Yanaliaa kwakwakwaa na vichwaa juuuuuu
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nimekumisi wewe mwanadada
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]