Nitawamiss nyote

Nitawamiss nyote

Umetishiwa taraka nyingi sijui ngapi au nini? Maana kuna wanaume wana wivu hata akiona mke wake anachangia la maana kinamuuma. Namshukuru lazizi wangu huwa anasoma hata post zangu na nikitukanwa ananibusu kunipa moyo. Kama ni hilo mwaya ndoa ndoana kama ni lingine, think twice hapa ni burudisho la roho, akili na mwili. JF forever. Nilikuwa guest since 2008 baadaye nikaona ya ni jiunge.
Sijitoi tena mpendwa nishaghairi,nliamua tu mm binafsi,pm zilikua full na sikutegemea,imenibidi tu nitulie na my frendz hapa
 
Back
Top Bottom