king Boy Sela
JF-Expert Member
- Feb 18, 2017
- 376
- 266
Hmm kesho mwishoOngeza week1 mbele nimalizie majukumu yng ndo uage nikupe baraka zote
ThnxOkay!!! Nakutakia maisha mema.
ahahh baba paroko kwenye ubora wakoMuwe mnang'tuka kimya kimya sio mpaka taarifa acheni utoto,mnataka muone tunajisikiaje mnao tuacha nyuma??
Nyamaza bathii
Sakayo leftWewe huruhusiwi kuondoka humu umeelewa ... Yaani we uondoke wee .....acha matani ya ngumi wewe
Hmm ulijiunga kwaajil yang tena,ulinijulia wap tena kabla ya hapa?OMG!!! Unaondoka wakati nilijiunga n convention hii kw sababu yko, "nisiumie basi"
Mie nshaondoka mbona, hapa nipo kama mgeni tuu..Usiondoke[emoji23]ukaja kuwaliza kwa Mara ingine
[emoji3][emoji23]Sakayo left
[emoji23][emoji23] unataka kuwaliza waliokua washanyamaza tenaMie nshaondoka mbona, hapa nipo kama mgeni tuu..
Thank uHamna, by the way, let me say be4 u quit "love will remember"
Kwa heri mdogo wanguMmh wa pili ww
mbona mnatufanyia hivyo tumewazoea mjue
[emoji2] [emoji2] mfyuuu nitakufwaa mbona nitapanda raha leo nikufateKwa heri mdogo wangu
Sakayo left
Nimejitoa asubuhi bhana..[emoji23][emoji23] unataka kuwaliza waliokua washanyamaza tena
Zakayo!!Sakayo left
Hahaha[emoji2] [emoji2] mfyuuu nitakufwaa mbona nitapanda raha leo nikufate